Wanaosema Diamond hajui kuimba ni wivu au ni kweli?

Wanaosema Diamond hajui kuimba ni wivu au ni kweli?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini

Mcheki hapo akiimba live

maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya kifahari sababu ya uwekezaji, na mimi ndicho nachokitaka yaani kipaji cha msanii na muda ambao amekuwepo kwenye game uendane na hali nzuri kimaissha

Mtu kama Wakazi anajitokeza anasema Diamond hajui kuimba ila Wakazi hana mafanikio yoyote kwenye mziki sijui mziki mzuri na kujua kuimba tunapima kwenye nini maana mziki mzuri unatakiwa uendane na maendeleo ya msanii , hata wenzetu ulaya wasanii wenye mziki mzuri wana mafanikio na ni matajri wa kutisha

Ni vyema wasanii wangeiga tu huu mziki mbovu wa platnumz ila nao watoke kimaisha yaani ni aibu msanii kujiita anajua kuimba alafu unakuja kufa maskini

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
BIASHARA NA FREEMASON
BIASHARA NA MASHOGA

INAMUONDOLEA SIFA YA KUWA BORA
 
Diamond anaimba nyimbo ambazo nyingine Hutu anaziona nzuri,nyingine zinaonekana mbaya,mfano mimi,nyimbo kama Nitarejea,lala salama,moyo wangu na nyingine nyingi,nazipenda na zinaniaminisha kua anajua kuimba.
 
Bora zuchu.
Ni kweli kabisa huyu dada ana sauti nzuri naturally kama akiba Céline Dion, Kama Christian Bella, kama Falie Ipupa.. Yaani hata ukimsimamisha barabarani ukamwambia imba na wengine wapige debe au ndoo unapata mziki bomba. Diamond ninachomkubali ni kucheza na kumiliki jukwaa...
 
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini

Mcheki hapo akiimba live

maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya kifahari sababu ya uwekezaji, na mimi ndicho nachokitaka yaani kipaji cha msanii na muda ambao amekuwepo kwenye game uendane na hali nzuri kimaissha

Mtu kama Wakazi anajitokeza anasema Diamond hajui kuimba ila Wakazi hana mafanikio yoyote kwenye mziki sijui mziki mzuri na kujua kuimba tunapima kwenye nini maana mziki mzuri unatakiwa uendane na maendeleo ya msanii , hata wenzetu ulaya wasanii wenye mziki mzuri wana mafanikio na ni matajri wa kutisha

Ni vyema wasanii wangeiga tu huu mziki mbovu wa platnumz ila nao watoke kimaisha yaani ni aibu msanii kujiita anajua kuimba alafu unakuja kufa maskini

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Wivu tu
 
Wakati bwana ukukupita umekupita uwezi kuwa the best milele ndio maana tunakufa wanazaliwa wengine
 
Diamond nilikuwa namuona ni muimbaji wa kawaida tu.

Lakini kuna madude kayatoa kama 3 hivi.
Moja kuna mabinti wanatetema jangwani.

Yale madude ni hatari na nusu.

Kuanzia leo nimemvulia kofia ..

Jamaa anatembea kimataifa zaidi.
 
Diamond alikwisha malizia Kila kitu kwenye mziki wa Tanzania,kwenye utunzi dogo anajua,kuimba kupanda na kushuka yupo vizuli,jukwaani pia hakuna Kama yeye hapa tanzania.kinacho tufelisha wengi wetu ni chuki na roho mbaya.kitendo Cha kumuona uliyekuwa unasema kesho au kesho kutwa anafeli anazidi kufanikiwa na anakuacha pale pale unaanza roho za kichawi embu zipe nafasi hizi ngoma then sema unadhani mziki wa Tanzania unamdai Nini Mtoto wa watu?kamwambie,mbagala,lala salama,nitarejea, nataka kulewa,inama,hallelujah,the one,fire, number one,iyena,na hapa juzi tu foa.
 
Back
Top Bottom