mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini
Mcheki hapo akiimba live
maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya kifahari sababu ya uwekezaji, na mimi ndicho nachokitaka yaani kipaji cha msanii na muda ambao amekuwepo kwenye game uendane na hali nzuri kimaissha
Mtu kama Wakazi anajitokeza anasema Diamond hajui kuimba ila Wakazi hana mafanikio yoyote kwenye mziki sijui mziki mzuri na kujua kuimba tunapima kwenye nini maana mziki mzuri unatakiwa uendane na maendeleo ya msanii , hata wenzetu ulaya wasanii wenye mziki mzuri wana mafanikio na ni matajri wa kutisha
Ni vyema wasanii wangeiga tu huu mziki mbovu wa platnumz ila nao watoke kimaisha yaani ni aibu msanii kujiita anajua kuimba alafu unakuja kufa maskini
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app