Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Basi sawa
Haya tuma salam..
Shikamoo JFBasi sawa unataka waanze kukufata???
mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Unataka kufuatwa pm?Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Mwanaume hujulikana tu kwa kauli zake na misimamo yake na sio kwa kutumia id au avatar!