kwahiyo unataka kupigwa MISHINDO?Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Mwanaume hujulikana tu kwa kauli zake na misimamo yake na sio kwa kutumia id au avatar!
Ebu dada mfate pm kwanzaId ya kidada ila mwandiko wa mkaka!!
Nimwambie nini mie jamaniEbu dada mfate pm kwanza
Dada msalimie tu mpaka mtu anataka pm hivyo jamaanNimwambie nini mie jamani
Umuombe dushe dada angu!Nimwambie nini mie jamani
Hataki mdada ujue...Dada msalimie tu mpaka mtu anataka pm hivyo jamaan
Ninalo la shemejiyo yatosha... Na la mchepuko wangu babu AsprinUmuombe dushe dada angu!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] anataka za me sijui anataka kuvumbua niniHataki mdada ujue...
Sky anafahamu kuwa mume wake ni mchepuko wako lakini???Ninalo la shemejiyo yatosha... Na la mchepuko wangu babu Asprin
Shangaa na wewe mdogo wangu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] anataka za me sijui anataka kuvumbua nini
Ongea taratibu basi mdogo wangu wa ubatizo!!! Hivi unataka nimwagiwe tindikali jamaniSky anafahamu kuwa mume wake ni mchepuko wako lakini???