Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Hii dunia xjui inaenda wapi mtoto wakiume analilia kutongozwa na wanaume wenzake na kuweka kia id cha kimitego jamani huyu ni wa kumuombea tu aache aka kamchezo huko mtaani kwao maana humu watu naona wameanzaa kuokoa siku hizi ndio maana akaamua kuulizia
 
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Mwanaume hujulikana tu kwa kauli zake na misimamo yake na sio kwa kutumia id au avatar!
kwahiyo unataka kupigwa MISHINDO?
 
Wengine hatufati madume dada[emoji51] [emoji23] [emoji111]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unataguta wa kukuamshia dude nn mkuu maraia wapo ww ngoja tu muda si mrefu wanakuja na madanguro yameshafungwa tena uraomba pooo mwenywe. Watapokuwa wanakula 0713.......
 
Back
Top Bottom