Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
Bora nikae kwenye mwendo kasi nibambie matako lakini sio kununua ist jameni. Gari ya kike kabisa ile unakuta libaba lizima nalo linaendesha
 
Kutokuwa na gari dar ni kama adhabu yaani ni shida mno. Kwenda kazini ni shida muda nao wa kurudi ni shida.
Afadhali kuwa na hiyo au passo ,hata bodaboda ni nafuu sana huwezi compare na mtu ambae hana any
 
Bora nikae kwenye mwendo kasi nibambie matako lakini sio kununua ist jameni. Gari ya kike kabisa ile unakuta libaba lizima nalo linaendesha
Kuna vitu ni kupeana presha tu.

As long as gari inatembea hata kwa kupuliza tank na kelele za vyuma kugongana sioni kama kuna shida.

Gari ni sawa na mke. Unaweza kusema binti fulani ana sura/mwonekano mbaya lakini kuna kijana amependa upendo wake wote.
 
Aloooh hata mimi nawashangaa ila kusema ukweli vitz hata unipe bure sichukui
 
Kuna vitu ni kupeana presha tu.

As long as gari inatembea hata kwa kupuliza tank na kelele za vyuma kugongana sioni kama kuna shida.

Gari ni sawa na mke. Unaweza kusema binti fulani ana sura/mwonekano mbaya lakini kuna kijana amependa upendo wake wote.
Aya bana.
 
Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
Hakika hao kizazi cha genZ
 
Hao ni wale Wa sizitaki mbichi hizi,IST ina ubaya gani??
Mtu anamiliki gari kulingana na mahitaji yake na kipato chake,hizo sample zinazochekaga IST wengi wao Sasa🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Ujinga unasumbua watu...hata kirikuu ni truck...kwa mfano Mimi Nina kirikuu na Hari flan truck kubwa...naenda sokoni au bar...nitawasha canter....una landcruzer hardtop unaenda km 2 au tatu..utaiwasha au itachukua bits Kama unayo ...mf una safari ya mkoani km 800 utaiwasha vits labda iwe kwa shida na mateso...au kwa maanahuko inakoenda ikifika inatumika..
 
Uzi tusio na magari uko wapi. Tufarijiane tukiwa tumekaa kwenye mwendo kasi kama nyanya
 
Gari unafungua mlango halafu unadumbukia ndani kama unaingia kwenye shimo
 
Back
Top Bottom