Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

Kutokuwa na gari dar ni kama adhabu yaani ni shida mno. Kwenda kazini ni shida muda nao wa kurudi ni shida.
Afadhali kuwa na hiyo au passo ,hata bodaboda ni nafuu sana huwezi compare na mtu ambae hana any
IST sio gari,
Hakuna unachopata (kusave) kwa kumiliki IST kwa sababu uwezo wake wa mafuta unafanana na gari nyingi tu kama Runx, Alex, n.k sasa unamiliki IST unasave nini?
 
Back
Top Bottom