Ndio mpaka afie madarakani kisa ameandamana! Machawa muwe na aibu hata kidogo.Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.
Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.
Hawa ndio tukabidhi chama?
Mdude ameandamana mara ngapi?Kwaiyo kuandamana ndio kigezo Cha mbowe kumshinda lisu, mbona kigezo chepesi mno?
Kumbe uongozi ni zawadiMwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana.
Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani.
Hawa ndio tukabidhi chama?
Hamumsaidii Mbowe bali kumuharibia kwa kuonesha waziwazi Lissu alivyo tishio kwenu, ndio maana nilikwambia akili hamna.Hapa tunatembea na beats mbili, sasa wewe chagua ya kucheza, na kila mtu achague beats, na acheze
Hata mimi nashangaa.Kwanini UWT mmefurahia sn Mbowe kugombea?
wanajua biashara tayariHata mimi nashangaa.