Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Achana naoNa ndio maana Lissu alianza kuteua viongozi wengine mara moja kwa vile tayari alishakuwa Mwenyekiti
Sawa.Wasipokuelewa kwenye huu uzi , basi itabidi uwachoree michoro.Na ndio maana Lissu alianza kuteua viongozi wengine mara moja kwa vile tayari alishakuwa Mwenyekiti
Sibishani na kapuku maana muda wowote aweza kuanguka kwa Njaa, nisingiziwe nimeuaWe si ni chawa wa Mbowe
Kwa majibu haya, ni bora uka imbe taarab tu 😆 😂Sibishani na kapuku maana muda wowote aweza kuanguka kwa Njaa, nisingiziwe nimeua
Katiba ya Chadema haijaandika hayo uyatakayo, ukishashindwa Uchaguzi unapisha wengine wafanye kwa mujibu wa uelewa waoSawa lakini angekuwepo tu ofisini kuwakaribisha viongozi wapya ingeepusha hii sintofahamu.
Hapo Mnyika imebidi atumie akili na siasa nyingi kuepusha minong’ono.
Nimepokea ushauri wakoKwa majibu haya, ni bora uka imbe taarab tu 😆 😂
Sawa msemaji wa CHADEMA JF ila waache watu waelewe walivyoelewa.Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza
View attachment 3217767View attachment 3217768
Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
Wewe ni msemaji wa Mbowe au wa Chadema?Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza
View attachment 3217767View attachment 3217768
Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
Kwani tunabishana au nakueleza ukweli kuwa wewe ni chawa wa mboweSibishani na kapuku maana muda wowote aweza kuanguka kwa Njaa, nisingiziwe nimeua
ukamilishe jengo halafu hata mwaka hukai....si padogo hapo. tumuelewa FAM.....i atumie akili na siasa nyingi kuepusha minong’ono.
Kaumia sana Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi kupigwa chiniKwa majibu haya, ni bora uka imbe taarab tu 😆 😂
Hakuna Tajiri Chawa, fanya utafitiKwani tunabishana au nakueleza ukweli kuwa wewe ni chawa wa mbowe
atakuwa kashachukua kadi ya chama tawala si bure!Siku hizi hueleweki kabisa
Hatutanyamazia upotoshajiSawa msemaji wa CHADEMA JF ila waache watu waekewe walivyoelewa.
Lucha kwani jf Ina jarida la matajiri wa jf!, au kila mtu aki jisikia ana jiita hivyo??Hakuna Tajiri Chawa, fanya utafiti