Wanaosema Mbowe amegoma kukabidhi Ofisi wasome hapa, Ni vema kuuliza kwanza kabla ya Kuropoka

Wanaosema Mbowe amegoma kukabidhi Ofisi wasome hapa, Ni vema kuuliza kwanza kabla ya Kuropoka

Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza

View attachment 3217767View attachment 3217768

Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
Kwa jinsi CDM ilivyothibitika kuwa Baba wa demokrasia nchini pasipo kuwa na shaka yoyote ile. Kwa hiyo basi nashauri katika mabadiliko ya katiba wanayoyatarajia kuyafanya katika siku zijazo, hili la "transition in shifting the power and authority" liwemo kikatiba.

Nashauri kama uongozi mpya unaingia madarakani kama huu,
uwepo muda wa kikatiba wa kutosha wa mwezi mmoja na nusu hivi ili uongozi unaomaliza muda wake kukabidhi ofisi kwa uongozi mpya. Katiba mpya itamke siku ya tarehe Moja mwezi wa Tatu, iwe ndiyo siku ambayo Mwenyekiti Taifa mpya atakabidhiwa rasmi ofisi baada ya kukidhi takwa la kisheria la Mkutano Mkuu kufanyika mwezi Januari katika mwaka husika.

Makabidhiano ya ofisi kuy hutawaliwa na itifaki na miongozo mingi ya kichama. Hii si "personal issue" bali ni "institutional one". Anayemaliza muda wake, na yule mteule ni lazima wa na kipindi cha kubadilishana madaraka na mamlaka.
 
Kwani tunabishana au nakueleza ukweli kuwa wewe ni chawa wa mbowe
Tayari Lissu kamchanganya, vile visent vilivyokuwa vinaingia kutoka upande wa pili vimekata.
Huoni anavyopaniki.
 
Lisu kuendelea na Mnyika kama KM, ni kosa la kiufundi.
 
Kaumia sana Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi kupigwa chini
Kupelekwa maoni yako kwa Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa kuhusu mstakabali wa Chama ndipo ya fuaye mlolongo hadi kwa viongozi wa kitaifa si padogo pia!
 
Na ndio maana Lissu alianza kuteua viongozi wengine mara moja kwa vile tayari alishakuwa Mwenyekiti
Nashangazwa na wanaohoji taarifa uliyoweka.

Mbona hawajawahi kuhoji taarifa zilizopita aambazo uliziweka hapa.

Ignore them
 
Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza

View attachment 3217767View attachment 3217768

Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
Wewe jamaa chadema wengine wangekuiga. Joto la uchaguzi lote hilo hukuonesha dharau ama kebehi kwa mgombea yeyote yule. Na baada ya uchaguzi umeendelea kazi ya uenezi na kupost consistently bila kuonesha furaha ama huzuni ama machungu.
 
N
... ulitaka Mbowe awe mnafiki kujichekesha na waliomzushia uchafu wa kila aina?
Ukijiweka Katika viatu vya Mbowe utaona kuwa anahitaji kupumzika, japo kidogo, na kupisha mihemko ya vipofu waliouona mwezi kama wewe!
USE YOUR LOAF! 😅
Kama mbowe na silaa walivyoleta FISADI lowasa ...
 
Utaratibu wa kukabidhi chama uliouongelea mbona ni WA kihuni,

Unapingana na Utaratibu wa utumishi wa umma uliowekwa na msingi wa Katiba mama ya nchi?
 
Back
Top Bottom