Wanaosema Mbowe amegoma kukabidhi Ofisi wasome hapa, Ni vema kuuliza kwanza kabla ya Kuropoka

Wanaosema Mbowe amegoma kukabidhi Ofisi wasome hapa, Ni vema kuuliza kwanza kabla ya Kuropoka

Sawa lakini angekuwepo tu ofisini kuwakaribisha viongozi wapya ingeepusha hii sintofahamu.

Hapo Mnyika imebidi atumie akili na siasa nyingi kuepusha minong’ono.
... halazimiki na hujui majukumu aliyonayo na dharura zake kama zinampa nafasi au la!
LISSU KALALAMIKA?
 
Na ndio maana Lissu alianza kuteua viongozi wengine mara moja kwa vile tayari alishakuwa Mwenyekiti
Zama zako zimeshapita, tunajua unaugulia uchawa wako hauna ajira kwasasa, Lisu keshatangaza machawa hawana nafasi so tafuta ajira nyingine au kaungane na Sultan huko Machame
 
CHADEMA SIO CHAMA CCM NI CHAMA CHA MAPINDUZI KINAPINDUA VYOTE PENDA MSIPENDE FUTENI CHADEMA NO USE HAMJASHIKA UONGOZI WA NCHU HATA SIKU MOJA
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!
 
Acha unafiki ...
... ulitaka Mbowe awe mnafiki kujichekesha na waliomzushia uchafu wa kila aina?
Ukijiweka Katika viatu vya Mbowe utaona kuwa anahitaji kupumzika, japo kidogo, na kupisha mihemko ya vipofu waliouona mwezi kama wewe!
USE YOUR LOAF! 😅
 
Hatutanyamazia upotoshaji
Hao hao ndiyo waliomzodoa alipo tweet kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi. Mimi sijui shida iko wapi. Lakini kuendesha chama kupitia mitandao kuna madhara yake na CCM hilo wanalimudu na ninawasifu. CHADEMA kuweni makini. Ninatamani self-censorship.
 
Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza

View attachment 3217767View attachment 3217768

Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
Katika hali ya upendo, upendo wa zamani kati ya Lisu na Mbowe, leo ilikuwa siku njema kukabidhiana. Haikutokea, basi tuyaache lakini si dalili njema hata kidogo.

Mkuu roho yangu inashindwa kusonga mbele.... sasa utafutaje kuwa mimi ni mwizi, mla rushwa? mzinzi? watu umeshawaaminisha by 100% kuwa niko hivyo. Donda nakufa nalo milele kweli mbele ya jamii , la UONGO!
 
Back
Top Bottom