lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote mitano ya Magufuli alikua kimya sasa kaja Samia ana/Wana muonea,wakati wa Magufuli waliufyata.
Wale wote wanaosema ama kufikiri hivyo nadhani hawana kumbukumbu.
Ikumbukwe kwamba Magufuli katika miaka yake mitano,alipata Upinzani wa kisiasa ulio Mkali mno kama ama zaidi ya Upinzani wa kisiasa alioupata Kikwete.
Ndio nasema Upinzani wa kisiasa,kwa sababu Upinzani wa kisiasa upo kisheria.
Tofauti ya Magufuli na Kikwete ni kuwa Magufuli hakua na Uvumilivu wa kisiasa,na Uvumilivu wa siasa za vyama vingi.
Yeye aliamini kila kitu ni mabavu tu,tangu alippkua Mbunge,Waziri na mwisho Raisi.
Kwa kifupi Magufuli hakujua kuwa hii ni nchi ya vyama vingi,na siasa za vyama vingi ni pamoja na kukosolewa,kufichuliwa mambo kama ufisadi naambo binafsi.
Katika Utawala wa Magufuli Chadema hawakumuogopa bana,
Tundu lisu.
Huyu Bwana ,alimkosoa "Magufuli"waziwazi.
Aliwahi kusema "tuna Rais wa ajabu tangu nchi upate uhuru" alisema hivyo baada ya Rais kutojali watu waliopatwa na majanga kama tetemeko bukoba na hakuonekana kwenye mazishi ya askari waliokua kwenye mapambano.
Tundu lisu alimkosoa waziwazi jinsi alivyo dili na makinikia,
Jinsi alivyonunua ndege kwa cash n.k
Godbless Lema.
Huyu alimkosoa Magufuli waziwazi kuhusiana na mtindo wake wa uongozi,Lema alimkosoa na hata akaoteshwa ndoto mbaya juu ya hatma ya Magufuli kama hatajirekebisha, ambayo aliisema waziwazi.
Mbowe.
Huyu Bwana pamoja na viongozi wengine wa chadema walipinga vikali uonevu na dhulma katika Uchaguzi na hasa Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Walipinga kwa maandamano yaliyopelekea Marehemu Akwilina kupoteza Maisha.Mungu amlaze Mahala pema binti yetu na mdogo wetu Marehemu.Akwilina..
Mbowe na wenzake walifanya maandamano ya amani kwenda ofisi ya Mkurugenzi kudai haki zao.
Mdude nyangali,
Huyu pia alimkosoa Magufuli.
Hao ni wachache tu,lakini wapo wengi waliotumia haki yao ya kukatiba kwa uwazi kabisa kumpinga na kumkosoa Magufuli pale walipoona anakwenda ndivyo sivyo.
Bila kumsahau Ben Sane,apumzike kwa amani huko aliko.sina uhakika Yuko wapi.Ooh Lord!
Kwa kifupi ni kwamba Chadema walitumia haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kumpinga Magufuli.
Kwa hiyo wale wanaosema Mbowe au chadema waliufyata wakati wa Magufuli hawana kumbukumbu.
Bora Kikwete Alijua kuwajibu Chadema kisiasa kwa kuwatumia wasemaji kama akina Nape,lakini Magufuli aliwapinga wapinzani kwa kutumia "zana".
Magufuli.alipata Upinzani Sana ila hakua mvumilivu.