Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen

Umechanganya kidogo mkuu
CS aliyekaa miaka 10 ni Marten Lumbanga 1995-2006
Wakati huo Sefue alikua ni Personal Assistant wa Rais

JK alivyoingia alimpeleka ubalozi US mpaka 2010 akahamishiwa Ubalozi UN mpaka 2011 akaja kupokea kuwa CS kutoka kwa Philemon Luhanjo aliyekua hapo 2006-2011

Sefue kafanya kuanzia 2011-2016
 
Sure Kaka nimechanganya hapo TEN YEARS....

Asante kwa kunirekebisha.
 
Kifo cha mzee naona kama likewise upon on a time.
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Martem Limbanga alikuwa CS wa mkapa baada ya kuchukua kijiti kwa somebody Luhanjo.
 
Acha uongo

Ombeni Sefue alikuwa wakati wa Jk tena alirithi toka kwa Mwanamtandao Luhanjo ambae alikuwa Katibu pale Foreign affairs

Tena Ombeni aliokota Dodo kwny Mpera kwa kuwa aliepangwa kumrithi Luhanjo alikuwa Jairo lakin wenzie wakamtumia Mtu wake wa karibu sana kumchafua

CS wa Mkapa alikuwa The Great Martin Lumbanga

Lipumba akihojiwa na Azam jana kaongea vyema sana…
Anasema Mkapa ndie Rais aliejitahidi zaid kuimarisha Mifumo ya Nchi isitegemee Mtu…Mkapa hakueleweka vyema kwa kuwa Nchi hii vilaza wengi sana na ndio sababu ndio Rais ambae hakuwa maarufu sana kwa kuwa alikuwa busy kutengeneza mifumo badala ya jina lake…

Alionya hadharan JPM kuacha tabia ya kusema Serikali yangu ya Magufuli lakin hakueleweka

Mtanzania ukimwita Mpumbavu anakwambia umemtukana muombe radhi badala ya kujenga hoja kupinga tuhuma hizo

Kuna kituo cha Televisin kikubwa tu kiliandaa kipindi cha kuzungumza Legacy ya Mkapa wakamualikd Mwijaku eti kuzungumzia hilo

1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
 
Huyu mwache akakutane na dhambi alizofanya. Aliua democrasia. Asingekuwa huyo marehemu sasa tungekuwa na democrasia zaidi ya Zambia
 
Acha uongo

Ombeni Sefue alikuwa wakati wa Jk tena alirithi toka kwa Mwanamtandao Luhanjo ambae alikuwa Katibu pale Foreign affairs

Tena Ombeni aliokota Dodo kwny Mpera kwa kuwa aliepangwa kumrithi Luhanjo alikuwa Jairo lakin wenzie wakamtumia Mtu wake wa karibu sana kumchafua

CS wa Mkapa alikuwa The Great Martin Lumbanga
Nimekosea mkuu..ombeni alikuwa Ni msaidizi wa mzee Mkapa...
Thanxxx kwa kunikosoa na kunisahihisha.

Peace
 
1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
Umeelewa ulichoandika? Ombeni Sefue ni Katibu Mkuu kiongozi wa Kikwete...
Mkapa alikuwa na Martin Lumbanga na Joseph Lugunyamheto kama sikosei
 
Huyu mwache akakutane na dhambi alizofanya. Aliua democrasia. Asingekuwa huyo marehemu sasa tungekuwa na democrasia zaidi ya Zambia
Kakulete UTANDAWAZI ambao mnaweza kumkosoa Leo Hana maana na anakandamiza hiyo "domokorasia"?!!
Aya bnaaa
 
Umeelewa ulichoandika? Ombeni Sefue ni Katibu Mkuu kiongozi wa Kikwete...
Mkapa alikuwa na Martin Lumbanga na Joseph Lugunyamheto kama sikosei
Sure ,pia alikuwa katibu wa Rais Mkapa kabla ya kuwa KMK
 
Hamna lolote hiyo mifumo alicopy kutoka nchi za ulaya,maana ipo toka muda mrefu kinachofanyika huwa inasimikwa na kuboreshwa tu kulingana na mazingira ya nchi husika.
 
Yeees, Luhanjo, kipindi cha Ben na ndio aliyempa kijiti Sefue kama sikosei. Huyo aliyesema Ombeni amehudumu kipindi cha Ben atakuwa pengine kachanganya, Ombeni si amemshikisha kijiti Kijazi?
Hapana, Katibu Mkuu Kiongozi wa Mkapa ni Balozi Dr. Martine Lumbanga 1995-2006
 
Luhanjo wa Kikwete, alistaafu 2011 na nafasi yake akarithi Ombeni Sefue.

Wakati wa Hayati Mkapa, Ombeni Sefue alikuwa personal assistance wa Rais.
Upo sahihi Wakati wa Kikwete Mzee Sefue alikuwa Personal Assistant to President, hasaa(Mwandishi wa Hotuba wa Rais) akianza na Mwinyi term yake ya pili na Miaka 10 yote ya Mkapa kama Muandishi wa hotuba wa Rais.
 
Back
Top Bottom