Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

Luhanjo alikua mkapa.. sefua katimuliwa na magufuli.. kama unakumbuka sefue ameripoti sana wanao tumbuliwa.

Lakini alidumu hadi wakati wa Kikwete, nskumbuka sakata la akina Jairo alitajwatajwa hatukujua imeishia wapi baadae ikawa amestaafu ila kuna mahali alipatiwa nafasi.
 
Mzee Mkapa amefanya kazi kubwa sana katika hili Taifa yani ilikuwa ni kama anaijenga upya nchi na hii ilisaidia kukuza sana uchumi wa Tanzania,kila kitu kinachofanyika sana kilianzishwa na yeye,anaejua historia ya hao wasaidizi wake atujuze tunajua na kuwapongeza Hakika walikuwa vichwa
 
Kilichomsaidia ni Kutembea nchi mbalimbali.. alikuwa anaona jinsi nchi zinavyoendeshwa
 
Huyu Lumbanga ndo jina lilinitoka, Nadhani Lumbanga alipokewa kutoka kwa Luhanjo au yeye ndo alimuachia Luhanjo?
Lumbanga alipoteuliwa kuwa Mwakilishi wa Tanzania Umoja wa Mataifa 2006 ndio Luhanjo akamrithi kama katibu Mkuu Kiongozi Ikulu
 
Hebu acha ujinga wako! Ombeni kaja kwa Jakaya kama sikosei ni 2012 baada ya Philimon Luhanjo,kustaafu! Mkapa kafanya kazi na Philemon Lumbanga! Uliza kwanza

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
[/QUOTE
MKUU nimekosea....
ALIKUWA ni katibu wa Rais Mkapa na si KMK...

Thnxxx
 
Back
Top Bottom