Luhanjo alikua awamu ya Kikwete au Mkapa?
1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
Hongera wewe kwa kujua YASIYOBUMBA....Hujui lolote kaa kimya na historian zako za kubumba.
Sure Kaka nimechanganya hapo TEN YEARS....Umechanganya kidogo mkuu
CS aliyekaa miaka 10 ni Marten Lumbanga 1995-2006
Wakati huo Sefue alikua ni Personal Assistant wa Rais
JK alivyoingia alimpeleka ubalozi US mpaka 2010 akahamishiwa Ubalozi UN mpaka 2011 akaja kupokea kuwa CS kutoka kwa Philemon Luhanjo aliyekua hapo 2006-2011
Sefue kafanya kuanzia 2011-2016
Mkuu hebu tudadavulie Sefue katimuliwaje?Luhanjo alikua mkapa.. sefua katimuliwa na magufuli.. kama unakumbuka sefue ameripoti sana wanao tumbuliwa.
1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
Nimekosea mkuu..ombeni alikuwa Ni msaidizi wa mzee Mkapa...Acha uongo
Ombeni Sefue alikuwa wakati wa Jk tena alirithi toka kwa Mwanamtandao Luhanjo ambae alikuwa Katibu pale Foreign affairs
Tena Ombeni aliokota Dodo kwny Mpera kwa kuwa aliepangwa kumrithi Luhanjo alikuwa Jairo lakin wenzie wakamtumia Mtu wake wa karibu sana kumchafua
CS wa Mkapa alikuwa The Great Martin Lumbanga
Umeelewa ulichoandika? Ombeni Sefue ni Katibu Mkuu kiongozi wa Kikwete...1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
Kakulete UTANDAWAZI ambao mnaweza kumkosoa Leo Hana maana na anakandamiza hiyo "domokorasia"?!!Huyu mwache akakutane na dhambi alizofanya. Aliua democrasia. Asingekuwa huyo marehemu sasa tungekuwa na democrasia zaidi ya Zambia
Sure ,pia alikuwa katibu wa Rais Mkapa kabla ya kuwa KMKUmeelewa ulichoandika? Ombeni Sefue ni Katibu Mkuu kiongozi wa Kikwete...
Mkapa alikuwa na Martin Lumbanga na Joseph Lugunyamheto kama sikosei
Hii hapana hata kidogo1.Balozi Ombeni Sefue...
Katibu Mkuu Kiongozi miaka 10 MFULULIZO chini ya mpendwa wetu,brilliant Hayati BWM....
Rip BWM,aaamen
Naam mkuu,nimekosea,thanxxxHii hapana hata kidogo
Katibu wakuu kiongozi CS waMzee Mkapa
ni Balozi Dr. Martin Lumbanga 1995-2006
Hapana, Katibu Mkuu Kiongozi wa Mkapa ni Balozi Dr. Martine Lumbanga 1995-2006Yeees, Luhanjo, kipindi cha Ben na ndio aliyempa kijiti Sefue kama sikosei. Huyo aliyesema Ombeni amehudumu kipindi cha Ben atakuwa pengine kachanganya, Ombeni si amemshikisha kijiti Kijazi?
Upo sahihi Wakati wa Kikwete Mzee Sefue alikuwa Personal Assistant to President, hasaa(Mwandishi wa Hotuba wa Rais) akianza na Mwinyi term yake ya pili na Miaka 10 yote ya Mkapa kama Muandishi wa hotuba wa Rais.Luhanjo wa Kikwete, alistaafu 2011 na nafasi yake akarithi Ombeni Sefue.
Wakati wa Hayati Mkapa, Ombeni Sefue alikuwa personal assistance wa Rais.