Kizuio
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 845
- 521
Huyu nimrodi ni mjukuu wa Hamu mmoja wa watoto wa Noah
Baba yake nimrodi ni Kushi mtoto wa Hamu
Yaelezwa alijenga miji mingi moja kati ya miji hiyo ukiacha babulon ni Ereki, Akadi, nchini Shinari
Nchini Ashuru ambako alijenga mji wa ninewi, Rehobothi, Kala na Reseni
Misri na kanaan.
ana wa Nuhu wakazaa watoto wengi. Watoto wao walikua na kuzaa watoto zaidi. Upesi kukawa na watu wengi duniani.
Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mtu mbaya aliyewinda na kuua wanyama na hata wanadamu. Nimrodi pia alijifanya mfalme atawale watu wengine. Mungu hakumpenda Nimrodi.
Wakati huo watu wote walisema lugha moja. Nimrodi alitaka awakusanye wote ili awatawale. Unajua alilofanya? Aliwaambia watu wajenge mji na ndani yake mnara mkubwa
Yehova Mungu hakupendezwa na jengo hilo. Mungu alitaka watu watawanyike na kukaa pote duniani. Lakini wao walisema: ‘Njoni! Tujenge mji na mnara mrefu sana ufike mbinguni. Ndipo tutasifiwa sana!’ Watu hao walitaka wajiheshimu kuliko Mungu.
Kwa hiyo Mungu aliwaachisha kujenga mnara. Unajua namna alivyofanya? Aliwafanya waanze kusema lugha mbalimbali mara moja. Wajenzi hao hawakufahamiana tena. Ndiyo sababu mji wao ukaitwa Babeli, au Babiloni, maana yake “Mchafuko ya Lugha duniani