Mkuu book of jasher inasema Nimrod aliuawa na Esau na naomba ieleweke kwamba Biblia inakitambua kitabu cha Yashari
Joshua 10:13
je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima.
2 Samuel 1:18
18 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema,Wana wa Yuda na wafundishwe haya.
So kama unaamini Biblia ni lazima ukiamini book of jasher otherwise kuna vitabu zaidi ya 100 nje ya bible vinavyoeleza kisa kizima cha Nimrod