Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ukiangalia ligi ya Tanzania kuna vituko sana na moja ya kituko ni mtu anakuambia simba ni timu bora na imeonewa na marefa ndo sababu ya kutokuchukua kombe ebu tuangalie takwimu zifuatazo
Mashabiki na viongozi wa simba wanatumia mechi ya Yanga vs Simba mzunguko wa kwanza kusema wanaonewa ila kwenye hiyo mechi hiyo hiyo linesman alirule offside ya uongo ya Prince Dube na alikuwa amebaki na kipa hata kwenye hiyo mechi yanga wanamalalamiko yao
- Timu iliyotoa mfungaji bora sio simba
- Timu iliyotoa top assist sio simba
- Timu iliyofunga magoli mengi sio simba
- Timu iliyofungwa magoli machache sio simba
- Timu iliyoshinda mechi nyingi sio simba
- Wachezaji waliofunga kati ya magoli manane na 17 simba wako wawili tu