Wanaosema tafuta hela kila Post

Wanaosema tafuta hela kila Post

Ni kwamba hizi nyakati watu wapo kwenye RAT RACE bila hata kujua..., Wanachokitafuta hakijulikani au watagundua kwamba wanachotafuta sicho siku wakikipata hicho....

In the abundance of water
The fool is thirsty
Rat race
Rat race
Rat race
Rat race!
Oh, it's a disgrace
To see the human race
In a rat race, yeah​

Rat Race A rat race is an endless, self-defeating, or pointless pursuit. The phrase equates humans to rats attempting to earn a reward such as cheese, in vain. It may also refer to a competitive struggle to get ahead financially or routinely.
 
umenena Mzazi.
 
Tafuta hela mpaka hela ikuambie hatukutaki 😀 😀 😀 😀
 
nyingi kiasi ambacho kitamfanya awe bze kuzipanga room ili kesho azipeleke bunk
 
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Maana yao kubwa pesa huenda unaweza kuitumia kununua happiness kwingine, Au heshima ya pesa ni kubwa sana kwa mwanamke, mostly ndio hao video clips zao hurushwa na akina shetani8,mrconnection ,pilaunyama, mpemba etc
 
expand...Wapo waliopata fedha na wana fedha na wameishia kupata maumivu kwa magold digger tu,
Mru anajiuliza huyu mwanamke kakosa nini kwangu mpaka atoke na kale " kajamaa" kadogo kenyewe hakana hata ajira kanashinda betting tu...!

Yakupasa kuelewa mapenzi yako ki hisia zaidi , na hapa ndio wanaume wengi wanapofeli jisni ya kujiconnect emotionally na kum-attract sexually mwanamke.

Wengi hukimbilia kuhonga ovyo ovyo , kujisfia hao ni watu wa hadhi fualin , au kujishow wako stable kiuchumi ili kumvutia mwanamke kimapenzi.... na hii ni very wrong!!!
 
Chochote ila kiwango chako ndicho kitakupa mwanamke wa aina yako
 
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?

Watu walio na hela huwa hawaulizi maswali ya namna hii...

Tafuta hela ya kutosha ili uanzishe nyuzi za namna unatumia pesa yako...
 
Back
Top Bottom