Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Acha makasiriko pesa haina kikomoNi hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha makasiriko pesa haina kikomoNi hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
umenena Mzazi.Ni kwamba hizi nyakati watu wapo kwenye RAT RACE bila hata kujua..., Wanachokitafuta hakijulikani au watagundua kwamba wanachotafuta sicho siku wakikipata hicho....
In the abundance of water
The fool is thirsty
Rat race
Rat race
Rat race
Rat race!
Oh, it's a disgrace
To see the human race
In a rat race, yeah
Rat Race A rat race is an endless, self-defeating, or pointless pursuit. The phrase equates humans to rats attempting to earn a reward such as cheese, in vain. It may also refer to a competitive struggle to get ahead financially or routinely.
Zilipo eeh [emoji28]msitisumbue tafadhali hii ni Njaanuare
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]naomba hela baby
Njoo geto uchukue
Makato mengi[emoji28][emoji28][emoji28]baby itume tu
[emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu tafuta hela ili siku nyingine usiumizwe na comment inayokuambia tafuta hela.
HahhahahahaAchana nao, we tafuta zako tu hela....
Maana yao kubwa pesa huenda unaweza kuitumia kununua happiness kwingine, Au heshima ya pesa ni kubwa sana kwa mwanamke, mostly ndio hao video clips zao hurushwa na akina shetani8,mrconnection ,pilaunyama, mpemba etcNi hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Mecheka mnooZiwe kiasi ambacho hata ukinyamba unaulizwa "hujaumia baby..?"
Kwahiyo wenye hela hawaumizwi na mapenzi?Lakini mkuu sio uongo ukiwa na pesa unaanzaje kulilia mapenzi
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Utafute sasa