Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia uhuru wao wa kujieleza. Hivyo hakuna tatizo. Hata johnthebaptist na Askofu wake Gamanywa, wanaisupport Israel. Na hakuna anaye wabughudhi.
Binafsi siungi mkono uonevu, mauaji ya watu wasio na hatia, mauaji ya watoto na akina mama, choko choko ya Taifa moja lenye nguvu kuhamasisha machafuko kwenye Mataifa mengine ili tu liweze kuuza silaha za makampuni yake, kuiba raslimali, nk.
Siku zote tamaa yangu ni kuona dunia inabakia kuwa mahali salama kwa viumbe hai wote.
Wewe unataka tusapoti vibaraka wa Marekani wanaoua watoto, wagonjwa na wanafunzi?Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas.
Ni nini Maoni yako?
Nenda na Ulaya,Marekani,China na Japan na kote kote mpaka Latin America halafu utapata jibu sahihi.Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas.
Ni nini Maoni yako?
uzalendo wa kukalia kimya upigaj wa kweny daraja la mbao la 200mUzalendo tu
Aliyeanzisha matatizo yote haya ni HAMAS.Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas.
Ni nini Maoni yako?
Tulia weweeHii ndo nini sasa,,,!!!
Unajiona unapatia kabisa,,, kumbe unaonyesha ujinga wako live,,,Tulia wewee
Naangalia Aljazeera hapa, bado vita inaendelea na hajapatikana aliyeweka silaha chiniNenda na Ulaya,Marekani,China na Japan na kote kote mpaka Latin America halafu utapata jibu sahihi.
Iwapo utachelewa kulipata nakupa hapa hapa.
Israel imeshindwa vita.
Naangalia Aljazeera hapa, bado vita inaendelea na hajapatikana aliyeweka silaha chiniNenda na Ulaya,Marekani,China na Japan na kote kote mpaka Latin America halafu utapata jibu sahihi.
Iwapo utachelewa kulipata nakupa hapa hapa.
Israel imeshindwa vita.
Kupigana na Hamas ni stori nyengine kwa Israel na ni kaa la moto.Ama Watauwa wote au watauliwa waisrael wote au wengi lakini hakuna kuweka silaha chini.Israel uchaguzi ni wake.Naangalia Aljazeera hapa, bado vita inaendelea na hajapatikana aliyeweka silaha chini
Ndg unajua ukiondoa hao watoto wanaotangulizwa na hao magaidi,wengi unaowaona ni raia ni magaidi wa Hamas waliovaa nguo za kiraia.Wewe unataka tusapoti vibaraka wa Marekani wanaoua watoto, wagonjwa na wanafunzi?