Aliyeanzisha matatizo yote haya ni HAMAS.
Na alianzisha kwa kuua watu 1400 miongoni mwao ni wazee, wanawake na watoto, Kisha akateka watoto, wazee, wageni, nk.
KWAHIYO, kwa mtu mwenye akili hawezi kushabikia HAMAS Kwasababu ndiye chanzo cha matatizo haya yote.
Vinginevyo, mtu huyo atakuwa kwenye mwavuli wa dini badala ya haki.( Kwani, siyo sahihi kumuunga mkono Hamas, kutokana na vitendo alivyovifanya).
-Kwa upande mwingine, mauaji yanayofanywa na ISRAEL yanatokana na Hamas kuwafanya raia kuwa Kinga ya vita.
SWALI
Mtu amekupiga ngumi, wakati unamrudishia anatumia mtoto kupunch ngumi yako. Halafu mtoto anakufa.
Je, aliyesababisha kifo cha mtoto hapa ni nani?, Jibu ni yule aliyemtumia mtoto kama punch.
SOLUTION
HAMAS waondoke kwenye maeneo ya raia waingie kwenye maeneo ya mapambano ili kuepusha mauaji kwa wasiostahili.