Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Watajua wenyewe kwa kuzitoa ili wajilipe pumbavuhizo million wanazonidai wajipange ,labda wanipe kazi ndo walipwe.
Watajua wenyewe kwa kuzitoa ili wajilipe pumbavuhizo million wanazonidai wajipange ,labda wanipe kazi ndo walipwe.
Nenda wewe ukakombwe kisha uendelee kusota mtaani kwani umekatazwa unataka kila mtu awe km wewe kila mtu ana kwao, wewe nenda kasome andaa mtaji wako ukimaliza jiajiri hapo fundi simu fundi bomba fundi cherehani kuna shida?Kwa Uelewa Wako Duni,VETA Haikwepeki
Sawa mualimu ambaye hajaajiliwa hizo skills zake anazionyeshea wapi?Ualimu ni profession, teaching ni skills.
Tena nakuomba ujue sio kila professional teacher ana skills za kufundisha, teaching ni more of a talent than skillsUalimu ni profession, teaching ni skills.
Na huyo fundi muashi aliyehitimu veta, kama haja jiajiri au kuajiriwa hizo skillz zake ataonesha wapi?Sawa mualimu ambaye hajaajiliwa hizo skills zake anazionyeshea wapi?
Hata designing za samani mbali mbali au mavazi inahitaji more than a talent, sio certificate hizo za veta.Tena nakuomba ujue sio kila professional teacher ana skills za kufundisha, teaching ni more of a talent than skills
Si kuajiriwa pekee, kuna kujiajiri pia.Ujuzi wa Veta umegawanyika,Veta hupati ujuzi bila cheti..labda iwe Veta ya vichochoroni...
Pitia vizuri Miongozo yao.
Tumepita huko,hata iwe basics,,,
Anachosema mleta mada,siku karibu kwenda kusoma post za ajira portal kule..hata watake fundi cherehani usidanganywe wana level zao ,Bomba,Dhobi,Mpishi,Umeme,
Kila kitu kipo kwa mpangilio kule.
Sisi tunachukulia ujuzi kama kunya porini tu unaibuka kichakani na jani mkononi.
Na huo uju,i hauko bure inategemea na kila Veta ya Mkoa gani.
Kwani ukiwa na degrees ya Biashara ambayo haikupi ajira unapata hasara gani kujifunza fani ya useremali au umeme?Veta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Upo sahihi Mkuu,Veta inakupa two optionsSi kuajiriwa pekee, kuna kujiajiri pia.
Hakika.Upo sahihi Mkuu,Veta inakupa two options
1.Jiajiri-Utashi na ushapu wa mtu
2.Uajiliwe-Unarudi kule kwa wasubiri ajira.
Washenzi sana kwa kweli si bure .Watajua wenyewe kwa kuzitoa ili wajilipe pumbavu
Unajua kama veta ni level 1 2,3? Ukimaliza level 3 unaweza kujiunga na level 4,5 6 ambayo inaitwa nta?ww mwenyewe huelewi ,Veta ni skill based education, hauko pale ku acquire degree wala diploma
Ungalisoma dini na dunia kama muislam miaka yote ungalikua sheikh mkubwaMimi nimeshasema sina muda wakwenda VETA kama nikupoteza muda nimeshapotezewa vyakutosha ,nitaendelea kusota mtaani until the end of my lifee ,kwa muda niliopotezewa kuanzia Primary miaka 7 , O-Level miaka 4 , A-Level miaka 2 ,Jkt miezi 3 na chuo kikuu miaka 3 ,JUMLA YA MIAKA 16 nimesema IMETOSHA , sipo tayari kuendelea kupotezewa muda wangu, nimeamua kuoa nakuanza familia huku nikijiwekeza kwenye kilimo ,hizo million wanazonidai wajipange ,labda wanipe kazi ndo walipwe.
Ungalisoma dini kama muislam miaka yote ungalikua sheikh mkubwaMimi nimeshasema sina muda wakwenda VETA kama nikupoteza muda nimeshapotezewa vyakutosha ,nitaendelea kusota mtaani until the end of my lifee ,kwa muda niliopotezewa kuanzia Primary miaka 7 , O-Level miaka 4 , A-Level miaka 2 ,Jkt miezi 3 na chuo kikuu miaka 3 ,JUMLA YA MIAKA 16 nimesema IMETOSHA , sipo tayari kuendelea kupotezewa muda wangu, nimeamua kuoa nakuanza familia huku nikijiwekeza kwenye kilimo ,hizo million wanazonidai wajipange ,labda wanipe kazi ndo walipwe.
Veta wanaenda waliokosa kuingia form six au diplomaKwa Uelewa Wako Duni,VETA Haikwepeki