Wanaoshabikia VETA hawaujui mfumo wa elimu Tanzania

Kwa Uelewa Wako Duni,VETA Haikwepeki
Nenda wewe ukakombwe kisha uendelee kusota mtaani kwani umekatazwa unataka kila mtu awe km wewe kila mtu ana kwao, wewe nenda kasome andaa mtaji wako ukimaliza jiajiri hapo fundi simu fundi bomba fundi cherehani kuna shida?
 
Kuja chini haijalishi! Mwenye degree anafanya kazi ya bodaboda si amejishusha? Kinachotakiwa ni kipato, ile elimu kubwa ya degree imekufungua macho tu.
 
Sawa mualimu ambaye hajaajiliwa hizo skills zake anazionyeshea wapi?
Na huyo fundi muashi aliyehitimu veta, kama haja jiajiri au kuajiriwa hizo skillz zake ataonesha wapi?

Siku nyingine, ku-support hoja ya PM kwa wahitim wa degree hoja yako iegemeze katika utofauti uliopo kati skilled profession na semi-skilled profession.
 
Tena nakuomba ujue sio kila professional teacher ana skills za kufundisha, teaching ni more of a talent than skills
Hata designing za samani mbali mbali au mavazi inahitaji more than a talent, sio certificate hizo za veta.
 
Si kuajiriwa pekee, kuna kujiajiri pia.
 
Veta ni level 1,2,3.
Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma.
Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree.
Sasa utoke uje chini?
Kwani ukiwa na degrees ya Biashara ambayo haikupi ajira unapata hasara gani kujifunza fani ya useremali au umeme?
 
👉Lecturer wa uchumi, akienda baa, anatumia hela hadi anakopa🤣hadi anasahau yeye ndo huwa anafundisha tofauti ya needs na wants
👉Lecturer wa biashara hajawahi fungua hata kibanda cha barafu
👉Lecturer wa accounting anakwosa
Balance hadi anaamua kukopa songesha na wakati ni mkali wa trial balance🙌🥵
 
VETA sasa hivi ishabadilika na yenyewe wanatafuta Pesa tu kwa kuuza vyeti ndio maana madereva kila wakati wanalazamishwa baada ya muda waende VETA (so called kuwa brushed) ili watoe pesa na kupewa vyeti ili wasajiliwe leseni upya...

All in all VETA ilikuwepo tangia kitambo kina spana boi wakifundishwa na fundi mekanika, wale wabeba mchanga wakifundishwa na fundi mwashi, makonda / day worker na madereva waosha vyombo na wapishi n.k. yaani wanapata ile apprenticeship (and it was working sababu walikuwa wakitoka hapo wana ujira au wanaendelea kupata ujira wa kusukuma siku zao) Leo hii usishangae kuona Chuo cha Kilimo hakina hata shamba la nyanya.., kwahio hio job skills (kufunzwa) wangezipeleka huko kwenye vyuo..., Anyway nilishashauri kitambo sana hapa...


Ukweli ni kwamba the things have changed (Nguvu kazi haina uhitaji tena na ni kitu unpractical kwamba kila mtu atajiajiri ili aweze kumuhudumia mwenzake kwenye karne ambayo kuna overproduction)

Mbinu za Kivita inabidi zibadilike huwezi kutumia mbinu za Industrial Revolution kwenye Age ya Science and Technology
 
Jamani speech yake si aliweka vizuri.Ni hivi wenye degree moja kushuka chini mkachukue fomu za VETA au kama mnaona VETA ni mzigo kafanye masters mkiona atawasimanga tena

Sema VETA sio mchongo wala nini.Sema katelephone nae dishi lishayumba toka kipindi kile anasema rais yuko sawa kumbe Israel alishafanya yake sijawahi muamini tena
 
ww mwenyewe huelewi ,Veta ni skill based education, hauko pale ku acquire degree wala diploma
Unajua kama veta ni level 1 2,3? Ukimaliza level 3 unaweza kujiunga na level 4,5 6 ambayo inaitwa nta?
 
Ungalisoma dini na dunia kama muislam miaka yote ungalikua sheikh mkubwa
 
Ungalisoma dini kama muislam miaka yote ungalikua sheikh mkubwa
Kwa Uelewa Wako Duni,VETA Haikwepeki
Veta wanaenda waliokosa kuingia form six au diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…