Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..

Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..

In the Bible at Psalms 82 : 6 God is telling the Israelites that " Ninyi ndinyi miungu wana wa alie juu ".

Sasa kati ya Mungu alie wa address wanadamu kama miungu na Beyonce anae jiita muungu nani mwenye makosa?


Hata historia hamuijui,Ugiriki,Mesopotamia na Misri ya kale watu walio kuwa na sifa za kipekee kama vile umahiri vitani, utunzi wa nyimbo nzuri au wanawake wenye uzuri ulio zidi viwango walipandishwa hadhi na kuitwa miungu .

Go Beyonce Go Beyonce ...Natabiri after some few years Dini ya Beyonce itakuwa na matawi dunia nzima , Tanzania ikiwemo
 
Kwa hiyo tufuate mambo ya kale?, wenzetu wanafikiria kwenda kuishi sayari ya Mars wewe upo bize na dini za binadamu
 
Tatizo nikwamba siku hizi dini hazina thamani hususani madhehebu ya kikuristo.... wanaichezea kama wanavo taka....mfano kila ukicha kuna Nabii Mitume wachugaji fake kwahi Dini ikabadilika kua "playing and laughing stock" imekua kitega uchumi viombo vya propaganda za siasa ili kusaidia wana siasa.......kwahiyo dini ya Biyonce inaweza kupata umarufu hapa nchini hata kuliko dhehebu la Kisabato kwa sababu wenyewe hawana mbwembwe kwenye dini yao.....wenzetu wa islam wenyewe hawana masihara na dini yao watakumaliza tu ukichezea Dini yao.
 
Kanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.
 
Ndo hapo unaweza kuona walisema dini zetu ni za kishenzi, kumbe ukiangalia kiundani zaidi hazikua za kishenzi, bali walitufanyia hivo kwa maslahi yao.
 
Hiyo ya huyo jamaa yako ni kufuru. Ni Mungu wa kweli tu anayestahili kuabudiwa. Ni mwanzo wa kuporomoka
 
Acha upotoshaji, kwa jinsi nilivyoelewa sio kama beyonce anaabudiwa...ni kwamba hilo kanisa huko marekani linatumia jina na baadhi ya nyimbo za beyonce kuvuta watu kanisani ambayo nayo mm siiungi mkono,

ndio maana wanaiita BEYONCE MASS.

Ni kanisa la Roman Catholic lile
 
Mkuu soma vizuri Muungwana blog, hadi biblia wanayo ya kwao na ina picha ya beyonce kwenye ganda lake la nje! na dini yenyewe inaitwa beysim biblia yao inaitwa byble.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…