Labda kama anafanya hizo mambo mara mbili, au watu wanamchafua na kutumia iconic yake....mm nimeona documentary ambayo waandishi walienda hadi kwny hilo kanisa na kuzungumza na waendeshaji wa hizo ibada,Mkuu soma vizuri Muungwana blog, hadi biblia wanayo ya kwao na ina picha ya beyonce kwenye ganda lake la nje! na dini yenyewe inaitwa beysim biblia yao inaitwa byble.
Hiyo habari ni ya leo inayomzunguzia kua kanunua kanisa kwa mamilioni ya fedha, kanisa ambalo limejengwa miaka ya 1900 huko kwa mawe mtupu na picha yake ipo, pia wamefafanua kuhusu dini yake hio ilivo na biblia wanayotumia na amejizolea maelfu ya wafuasi.Labda kama anafanya hizo mambo mara mbili, au watu wanamchafua na kutumia iconic yake....mm nimeona documentary ambayo waandishi walienda hadi kwny hilo kanisa na kuzungumza na waendeshaji wa hizo ibada,
Lkn pia hiyo inawezekana maana hawa wasanii wakubwa ni hovyo kabisa.
FactTatizo nikwamba siku hizi dini hazina thamani hususani madhehebu ya kikuristo.... wanaichezea kama wanavo taka....mfano kila ukicha kuna Nabii Mitume wachugaji fake kwahi Dini ikabadilika kua "playing and laughing stock" imekua kitega uchumi viombo vya propaganda za siasa ili kusaidia wana siasa.......kwahiyo dini ya Biyonce inaweza kupata umarufu hapa nchini hata kuliko dhehebu la Kisabato kwa sababu wenyewe hawana mbwembwe kwenye dini yao.....wenzetu wa islam wenyewe hawana masihara na dini yao watakumaliza tu ukichezea Dini yao.
Wewe lazma utakuwa ni mpaganiBeyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..
Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..
In the Bible at Psalms 82 : 6 God is telling the Israelites that " Ninyi ndinyi miungu wana wa alie juu ".
Sasa kati ya Mungu alie wa address wanadamu kama miungu na Beyonce anae jiita muungu nani mwenye makosa?
Hata historia hamuijui,Ugiriki,Mesopotamia na Misri ya kale watu walio kuwa na sifa za kipekee kama vile umahiri vitani, utunzi wa nyimbo nzuri au wanawake wenye uzuri ulio zidi viwango walipandishwa hadhi na kuitwa miungu .
Go Beyonce Go Beyonce ...Natabiri after some few years Dini ya Beyonce itakuwa na matawi dunia nzima , Tanzania ikiwemo
Kanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.
naona tu michoro ya nguva kwnye hicho kitabu na jibu unapata anyeabudiwa hapo na beyonce au mashetani
Red, ndio maana kuna baadhi ya watu wanamwita Yesu Mungu hawajui kuwa lugha ya wagiriki,Warumi,Wamisri, kwa wakati huo neno Mungu lilimaanisha kiwango na uwezo wa mtu kufanya kitu fulani...Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..