Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Labda kama anafanya hizo mambo mara mbili, au watu wanamchafua na kutumia iconic yake....mm nimeona documentary ambayo waandishi walienda hadi kwny hilo kanisa na kuzungumza na waendeshaji wa hizo ibada,Mkuu soma vizuri Muungwana blog, hadi biblia wanayo ya kwao na ina picha ya beyonce kwenye ganda lake la nje! na dini yenyewe inaitwa beysim biblia yao inaitwa byble.
Lkn pia hiyo inawezekana maana hawa wasanii wakubwa ni hovyo kabisa.