Ila naye huyu jamaa alishaanza kupata wafuasi duh hii kali.Halafu nabii tito kukambania asipige hela
Huyu jamaa ana ujinga wa hali ya juu.Kwa hiyo tufuate mambo ya kale?, wenzetu wanafikiria kwenda kuishi sayari ya Mars wewe upo bize na dini za binadamu
Kwani hiyo ya biyonce ni ya kikrustu?Tatizo nikwamba siku hizi dini hazina thamani hususani madhehebu ya kikuristo.... wanaichezea kama wanavo taka....mfano kila ukicha kuna Nabii Mitume wachugaji fake kwahi Dini ikabadilika kua "playing and laughing stock" imekua kitega uchumi viombo vya propaganda za siasa ili kusaidia wana siasa.......kwahiyo dini ya Biyonce inaweza kupata umarufu hapa nchini hata kuliko dhehebu la Kisabato kwa sababu wenyewe hawana mbwembwe kwenye dini yao.....wenzetu wa islam wenyewe hawana masihara na dini yao watakumaliza tu ukichezea Dini yao.
Maandiko ya Beyonce´😉kwa hiyo wanafuata maandiko yapi?
C anatumia bibilia ambacho ndo kitabu kinacho tumika kwa madhehebu ya kikuristu....eti kinaitwa biboKwani hiyo ya biyonce ni ya kikrustu?
Biblia yake hiyo hapo pamoja na kanisa alilonunua kwa mamilioni ya fedha.Maandiko ya Beyonce´😉
Biblia yake hio inaitwa beyble na kanisa hilo kalinunua kwa bilion 1.9, sisi huku mpaka tuje kufikia hatua ya kuuza makanisa sijui ni lini.Biblia yake hiyo hapo pamoja na kanisa alilonunua kwa mamilioni ya fedha.View attachment 782642View attachment 782644
shetan anatafuta wa kumshetan ili wawe wote kubaya endelea kutafuta mkuu uwapata agents humuBeyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..
Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..
In the Bible at Psalms 82 : 6 God is telling the Israelites that " Ninyi ndinyi miungu wana wa alie juu ".
Sasa kati ya Mungu alie wa address wanadamu kama miungu na Beyonce anae jiita muungu nani mwenye makosa?
Hata historia hamuijui,Ugiriki,Mesopotamia na Misri ya kale watu walio kuwa na sifa za kipekee kama vile umahiri vitani, utunzi wa nyimbo nzuri au wanawake wenye uzuri ulio zidi viwango walipandishwa hadhi na kuitwa miungu .
Go Beyonce Go Beyonce ...Natabiri after some few years Dini ya Beyonce itakuwa na matawi dunia nzima , Tanzania ikiwemo
Jina la kanisa Beysim linatokana na Jina la muungu beyonce Knowles...,ahahaha nimeongeza tu.Mkuu soma vizuri Muungwana blog, hadi biblia wanayo ya kwao na ina picha ya beyonce kwenye ganda lake la nje! na dini yenyewe inaitwa beysim biblia yao inaitwa byble.
Aisee wewe kiboko.Mm sishangai jamani. Maana hata uislam na ukristo ulianza hivi hivi. Mara kazaliwa Yesu, mara kazaliwa Muhammad mara paaaah wakaenda weeee na figisu zao mwisho wakaleta dini zao huku wakimsingizia Mungu kazishusha hizi dini. Yesu na Muhammad lazma wachomwe moto siku ya mwisho kama hawajatubu maana wamemlisha maneno Mungu kwamba dini flani ni yake na ndio anayoitambua.
Hahahahaha ndiko tunakoendaBiblia yake hio inaitwa beyble na kanisa hilo kalinunua kwa bilion 1.9, sisi huku mpaka tuje kufikia hatua ya kuuza makanisa sijui ni lini.