Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

Kwan na maradona nae si ana dini yake wanaabudu mpira! Bday yake ndio xmass yao... Kanye west pia ana dini yake
 
Tatizo nikwamba siku hizi dini hazina thamani hususani madhehebu ya kikuristo.... wanaichezea kama wanavo taka....mfano kila ukicha kuna Nabii Mitume wachugaji fake kwahi Dini ikabadilika kua "playing and laughing stock" imekua kitega uchumi viombo vya propaganda za siasa ili kusaidia wana siasa.......kwahiyo dini ya Biyonce inaweza kupata umarufu hapa nchini hata kuliko dhehebu la Kisabato kwa sababu wenyewe hawana mbwembwe kwenye dini yao.....wenzetu wa islam wenyewe hawana masihara na dini yao watakumaliza tu ukichezea Dini yao.
Kwani hiyo ya biyonce ni ya kikrustu?
 
Link iko wapi?
Source ya taarifa yako.
Au ni stori za kahawa ambazo nimeanza kuzisikia like 10 years ago
 
Maandiko ya Beyonce´😉
Biblia yake hiyo hapo pamoja na kanisa alilonunua kwa mamilioni ya fedha.
3.jpg
0518-the-church-redfin-5.jpg
 
Duuh,so mkuu na wewe unamuabudu kama Mungu wako??safi
 
Kwa hapa bongo hakuna mtu anaemwabudu huyo, ila yupo yule mwanamke wa kanda ya ziwa anajiita nabii mfalme nani sjui, watu wanamwabudu anajiita mungu.
 
Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..

Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..

In the Bible at Psalms 82 : 6 God is telling the Israelites that " Ninyi ndinyi miungu wana wa alie juu ".

Sasa kati ya Mungu alie wa address wanadamu kama miungu na Beyonce anae jiita muungu nani mwenye makosa?


Hata historia hamuijui,Ugiriki,Mesopotamia na Misri ya kale watu walio kuwa na sifa za kipekee kama vile umahiri vitani, utunzi wa nyimbo nzuri au wanawake wenye uzuri ulio zidi viwango walipandishwa hadhi na kuitwa miungu .

Go Beyonce Go Beyonce ...Natabiri after some few years Dini ya Beyonce itakuwa na matawi dunia nzima , Tanzania ikiwemo
shetan anatafuta wa kumshetan ili wawe wote kubaya endelea kutafuta mkuu uwapata agents humu
 
Mkuu soma vizuri Muungwana blog, hadi biblia wanayo ya kwao na ina picha ya beyonce kwenye ganda lake la nje! na dini yenyewe inaitwa beysim biblia yao inaitwa byble.
Jina la kanisa Beysim linatokana na Jina la muungu beyonce Knowles...,ahahaha nimeongeza tu.
 
Mm sishangai jamani. Maana hata uislam na ukristo ulianza hivi hivi. Mara kazaliwa Yesu, mara kazaliwa Muhammad mara paaaah wakaenda weeee na figisu zao mwisho wakaleta dini zao huku wakimsingizia Mungu kazishusha hizi dini. Yesu na Muhammad lazma wachomwe moto siku ya mwisho kama hawajatubu maana wamemlisha maneno Mungu kwamba dini flani ni yake na ndio anayoitambua.
 
Mm sishangai jamani. Maana hata uislam na ukristo ulianza hivi hivi. Mara kazaliwa Yesu, mara kazaliwa Muhammad mara paaaah wakaenda weeee na figisu zao mwisho wakaleta dini zao huku wakimsingizia Mungu kazishusha hizi dini. Yesu na Muhammad lazma wachomwe moto siku ya mwisho kama hawajatubu maana wamemlisha maneno Mungu kwamba dini flani ni yake na ndio anayoitambua.
Aisee wewe kiboko.
 
Dini si Mungu, haijawahi, haita kuwa,

Mungu si Dini, haijawahi, haipo na haitakuwa

Namuunga mkono Mrs jeizii
 
Beyonce kwani mzungu? swali liko nje nauliza tu nataka kujua,!
 
Back
Top Bottom