Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

sasa kama wanawake wazur walikuwa wanapewa haki ya kuitwa miungu ugiriki misri mesopotamia inahusianaje na kuanzisha dini marekani na isambae duniani kote
 
Beyonce ameshawahi kuangukakwenye stage, wanaotaka kuamini yeye ni "Mungu" wana maana yaotofauti ya "Mungu".

Ukienda Staten Island hata wewe unaweza kuamkiwa kama Mungu.
 
sasa kama wanawake wazur walikuwa wanapewa haki ya kuitwa miungu ugiriki misri mesopotamia inahusianaje na kuanzisha dini marekani na isambae duniani kote
Kwa sababu duniailendiyohii hii haijabadilika kitu.

Hata huyo Mungu mnayemsema kaumba mbingu na dunia, mjua yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Watu wanaabudu Mungu ambaye hayupo.

SasaBeyonce alkiamua kuwakama watu wamuabudu yeye ambaye yupo, angalau hao wanaomuabudu wanaweza kumuomba mkopo wapate scholarship akawapa.

Huyo Mungu asiyeonekana ni uongo mkubwa kuliko Mungu Beyonce.
 
Kanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.


Unasema kuuziana makanisa? Hata msikitini usiingie vagrant tu, kipande chako cha kuswalia kila siku inabidi ukinunue au ukilipie kama unavyolipia parking. Ndio USA baby!
 
Wakati utatuambia..wenye hekima tunaangalia kwa mbali halafu tunacheka hah hah hah hah
 
Unasema kuuziana makanisa? Hata msikitini usiingie vagrant tu, kipande chako cha kuswalia kila siku inabidi ukinunue au ukilipie kama unavyolipia parking. Ndio USA baby!
Mi ninachozungumzia kununua jengo zima na kulifanyia ibada tofauti na lengo la waliolijenga, mfano jengo la kkkt lililojengwa miaka ya 1917 huko wakaja kuliuza kwa Nabii Tito na yeye kuanza kulitumia kwenye ibada zake za kula vitu, kula mambo!! Huoni kama vituko? ingawa sisi bado hatujafikia hata kuuziana makanisa kwa madhehebu yenye mrengo unaofananafanana, mfano walutheri wakawauzia waangelikana au wapentekoste na wengineo.
 
Kuna mtu katangaza tenda anatafuta jengo la kufanya kanisa atalipa 700,000 kwa mwezi.

Liwe karibu na kituo cha daladala na kiwe na parking space.

Sasa hapo tofauti nini?
 


Hizi kelele Bongo tu maana sisi waafrika confused sana, Ulaya kwa wenye Yesu wao makanisa haya dili tena, sasa hivi wanayafanya kuwa apartments au wanafungua maduka.
 
Sasa hata kwenye Biblia wamesema popote mtakapokusanyika kwa jina la gu na mimi nipo kati yenu.

Hamna cha ajabu hapo.
Uzuri mmoja unayafahamu maandiko vizuri sana ila shida ni tafsiri zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…