Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbafu mleta taarifa? Au Biyonse?Pumbafu kabisa
Kwa sababu duniailendiyohii hii haijabadilika kitu.sasa kama wanawake wazur walikuwa wanapewa haki ya kuitwa miungu ugiriki misri mesopotamia inahusianaje na kuanzisha dini marekani na isambae duniani kote
Kanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.
Mi ninachozungumzia kununua jengo zima na kulifanyia ibada tofauti na lengo la waliolijenga, mfano jengo la kkkt lililojengwa miaka ya 1917 huko wakaja kuliuza kwa Nabii Tito na yeye kuanza kulitumia kwenye ibada zake za kula vitu, kula mambo!! Huoni kama vituko? ingawa sisi bado hatujafikia hata kuuziana makanisa kwa madhehebu yenye mrengo unaofananafanana, mfano walutheri wakawauzia waangelikana au wapentekoste na wengineo.Unasema kuuziana makanisa? Hata msikitini usiingie vagrant tu, kipande chako cha kuswalia kila siku inabidi ukinunue au ukilipie kama unavyolipia parking. Ndio USA baby!
Kuna mtu katangaza tenda anatafuta jengo la kufanya kanisa atalipa 700,000 kwa mwezi.Mi ninachozungumzia kununua jengo zima na kulifanyia ibada tofauti na lengo la waliolijenga, mfano jengo la kkkt lililojengwa miaka ya 1917 huko wakaja kuliuza kwa Nabii Tito na yeye kuanza kulitumia kwenye ibada zake za kula vitu, kula mambo!! Huoni kama vituko? ingawa sisi bado hatujafikia hata kuuziana makanisa kwa madhehebu yenye mrengo unaofananafanana, mfano walutheri wakawauzia waangelikana au wapentekoste na wengineo.
Aisee hata mi hio nimeona, taratibu na huku wanaanza.Kuna mtu katangaza tenda anatafuta jengo la kufanya kanisa atalipa 700,000 kwa mwezi.
Liwe karibu na kituo cha daladala na kiwe na parking space.
Sasa hapo tofauti nini?
Mi ninachozungumzia kununua jengo zima na kulifanyia ibada tofauti na lengo la waliolijenga, mfano jengo la kkkt lililojengwa miaka ya 1917 huko wakaja kuliuza kwa Nabii Tito na yeye kuanza kulitumia kwenye ibada zake za kula vitu, kula mambo!! Huoni kama vituko? ingawa sisi bado hatujafikia hata kuuziana makanisa kwa madhehebu yenye mrengo unaofananafanana, mfano walutheri wakawauzia waangelikana au wapentekoste na wengineo.
Ahahahahaha!Hizi kelele Bongo tu maana sisi waafrika confused sana, Ulaya kwa wenye Yesu wao makanisa haya dili tena, sasa hivi wanayafanya kuwa apartments au wanafungua maduka.
Sasa hata kwenye Biblia wamesema popote mtakapokusanyika kwa jina la gu na mimi nipo kati yenu.Aisee hata mi hio nimeona, taratibu na huku wanaanza.
Pumbafu mleta taarifa? Au Biyonse?
Uzuri mmoja unayafahamu maandiko vizuri sana ila shida ni tafsiri zakoSasa hata kwenye Biblia wamesema popote mtakapokusanyika kwa jina la gu na mimi nipo kati yenu.
Hamna cha ajabu hapo.