Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

Kanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.
Huyu Beyonce huyuuu
 
Uzuri mmoja unayafahamu maandiko vizuri sana ila shida ni tafsiri zako
Mungu hayupo. Ndiyo maana inawezekana kuwa na tafsiri tofauti za hayo maandiko.

Angekuwepo kungekuwa hakuna tafsiri tofauti. Kwa kweli hata tusingehitaji vitabu.
 
Mungu hayupo. Ndiyo maana inawezekana kuwa na tafsiri tofauti za hayo maandiko.

Angekuwepo kungekuwa hakuna tafsiri tofauti. Kwa kweli hata tusingehitaji vitabu.
Nimefurahi kujua kuwa maandiko matakatifu unayasoma na kuyajua vema... Kuna siku kabla hujafa Neema itakuangukia na kukombolewa toka kwenye vifungo vya nira za kupinga uwepo wa Mungu mkuu
 
Sawa tu wajinga kibao watajiga na hiyo dini,mbana Tanzania tunazo nyingi dini kama hizo,Tanzania Manabii na Mitume tunao kila kona,,..
Yan nilikua siamini ila yapata kama nusu saa nimetoka hospital nimeikuta hyo bible juu ya meza ya dr sema cover lake jeuc mwenyewe yupo proud kuisoma .
 
Nimefurahi kujua kuwa maandiko matakatifu unayasoma na kuyajua vema... Kuna siku kabla hujafa Neema itakuangukia na kukombolewa toka kwenye vifungo vya nira za kupinga uwepo wa Mungu mkuu
Ukiweza kuthibitisha Mungu yupo, na kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo Mungu, unaweza kuifanya siku hiyo kuwa leo.

Jaribu.

Sina tatizo kukubali kwamba Mungu yupo kama utanipa valid arguments.

Tatizo huna valid arguments, halafu unataka nikubali tu Mungu yupo.

Hata huyo Mungu mwenyewe angekuwepo, asingetaka niwe mjinga hivyo.
 
Ni ukweli ambao huwezi kuupinga. Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Na huwezi kuondoa contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu.
Nathibitisha kwa hakika Mungu yupo! Asingekuwepo tusingekuwa tunamjadili... Kisichopo hakipo hivyo hakiwezi kujadiliwa.. Hakipo na hakujulikani
 
Nathibitisha kwa hakika Mungu yupo! Asingekuwepo tusingekuwa tunamjadili... Kisichopo hakipo hivyo hakiwezi kujadiliwa.. Hakipo na hakujulikani
Naweza kijadiki pembetatu ambayo hapohapo ni duara.

Hilo linamaanisha ipo?

Kama kijadili uwepo wa Mungu kunaonesha yupo, basi kujadili kwamba hayupo kunaonesha hayupo. Sasa tunapojadili juwepo na kutokiwepo kwa Mungu ina maana yupo na hayupobkwa wakati mmoja?

Ridiculous logic.
 
Mungu yupo mfano wako wa pembetatu na duara sio valid
 
Sawa ndio uhuru wa kuabudu! Mwisho wa siku kila mtu atapiga hesabu zake mbele ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…