Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Huyu Beyonce huyuuuKanisa lake linaitwa The National Church of Bey, dini yake inaitwa Beysim!! na wana biblia yai inaitwa Byble, Cha kushangaza zaidi wenzetu kule wanauziana hata makanisa duh hii dunia ina mambo, ndo hapo baadae utashangaa hio dini ina wafuasi kibao.