Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Kwa mimi sioni ajabu hata Kidogo kwani mtu mpaka anaamua kuolewa na huyo mwanaume ujue karidhika nae. Kama asingeridhika nae asingesubutu kuolewa nae.
Kuna wanawake wanatamani hata angetokea mwanaume hata chini ya dogo janja wangekubali kuolewa nawe.
Tatizo hawana bahati.
Umri ni number tu. Na utu uzima ni kutokama na mambo yako unayofanya.
Unaweza ukawa na 50years lakini ukawa unafanya mambo Kama mtoto wa 18 years.
Kama anamuhudumia mke wake ipasavyo hamna tatizo.
Uzuri wa dini ya kiislaam inaruhusu maana ni suhna. (usiniulize saana kuhusu dini[emoji23] [emoji23] ) kwa hiyo kama wamependana kwa dhati tu.
Sisi twawatakia kila la heri