Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

Mie kulingana na utamaduni wetu,starajii kuolewa na kijana nae mzidi umri,mana wadogo zangu watamdharau,inabidi uwe na mwanaume ambae ata mtu akiingia ndani anajua baba mwenye nyumba kaja.tuache kukariri jamani tunajitoa thamani.

Sent from my HUAWEI CRR-L09 using JamiiForums mobile app
Kama wanadharau hata akiwa mkubwa watamdharau tu
 
Hivi wakati Irene Uwoya anaoana na Ndikumana, dogo Janja si alikuwa darasa la kwanza! This is miraculous act. Hii si halali. Watumie ujanani uzeeni wanabaka vitoto na kuvifunga visifikiri mbali.
 
09e7201d8666b72022a9fa351e33d1e8.jpg
Ivi ni ajabu dogo janja kumuoa Irene uwoya??
Kwa mimi sioni ajabu hata Kidogo kwani mtu mpaka anaamua kuolewa na huyo mwanaume ujue karidhika nae. Kama asingeridhika nae asingesubutu kuolewa nae.
Kuna wanawake wanatamani hata angetokea mwanaume hata chini ya dogo janja wangekubali kuolewa nawe.
Tatizo hawana bahati.
Umri ni number tu. Na utu uzima ni kutokama na mambo yako unayofanya.
Unaweza ukawa na 50years lakini ukawa unafanya mambo Kama mtoto wa 18 years.
Kama anamuhudumia mke wake ipasavyo hamna tatizo.
Uzuri wa dini ya kiislaam inaruhusu maana ni suhna. (usiniulize saana kuhusu dini[emoji23] [emoji23] ) kwa hiyo kama wamependana kwa dhati tu.
Sisi twawatakia kila la heri
Naomba picha yao wakiwa wawili kwenye mavazi ya ndoa tafadhali
 
Back
Top Bottom