Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

Hivi ukimuona uwoya ni MTU Wa kuolewa na dogo janja? Irene is there for money...no pesa no mapenzi...angekuwa sepetu ningekubali mtu aliyemuoa uwoya hajapenda wananzengo mumjue...kwahiyo dogo janja ni nan akatae kiki nzr namna hiyo na pesa atakuwa amepewa juu....Ndikumana ndio anajua baada ya kufulia nn maana ya jina Irene.Uwoya.
 
Hivi wakati Irene Uwoya anaoana na Ndikumana, dogo Janja si alikuwa darasa la kwanza! This is miraculous act. Hii si halali. Watumie ujanani uzeeni wanabaka vitoto na kuvifunga visifikiri mbali.
Navyo vinapenda kubakwa tu
 
Hivi ukimuona uwoya ni MTU Wa kuolewa na dogo janja? Irene is there for money...no pesa no mapenzi...angekuwa sepetu ningekubali mtu aliyemuoa uwoya hajapenda wananzengo mumjue...kwahiyo dogo janja ni nan akatae kiki nzr namna hiyo na pesa atakuwa amepewa juu....Ndikumana ndio anajua baada ya kufulia nn maana ya jina Irene.Uwoya.
Kwani dogo hana hela
 
Tatizo sio umri...mimi nashangaa kitu kingine kabisaaaa. Ngoja nikae kimya maana hayanihusu.
 
Kidogo umeniacha njiapanda
Mhe. Kigogo alikuwa Shemeji wa Bibi Harusi na alituthibitishia bila shaka kuwa ana faili Mwananyamala. Kwa vile Kigogo amejaa tele hapa JF ataweza kukueleza kiufasaha. Aidha nilikuwa namtuliza ndugu yangu kuwa health status ya bibi harusi ni sawa na ya Dogo janja. Hivyo hakuna shida ila angekuwa Non-Reactive tungemtahadharisha. Nikupongeze kwa kumjali bibi harusi ingawa tunasema uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Au tunaelezwa (kiutani) wazuri hunuka midomo maskini. Uwe na Bwana
 
Kwa vile tu kutoa maoni ni haki kikatiba...si kamba tutapike kila takataka..

Acha utoto.
 
Back
Top Bottom