Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hapana bwana. Mungu anisamehe ila irene kachemka. Kama ni ndoa kweli namtakia kila la kheri. Nafunga mdomo!Kitu gani
kuna mzeee fulani hivi anaitwa Yousouf piereYupi Jose??
hamna ndoa paleDah hapana bwana. Mungu anisamehe ila irene kachemka. Kama ni ndoa kweli namtakia kila la kheri. Nafunga mdomo!
Mwacheni tu aolewe pengine tulizo Lake liko kwa dogo [emoji23]Mara kaolewa na mnigeria mara janja sielewi
Unaona wivuu ee [emoji16][emoji16]TOTO LINACHUNGULIA BIMKUBWA
SijaelewaKwa vile tu kutoa maoni ni haki kikatiba...si kamba tutapike kila takataka..
Acha utoto.
Kwani mapenzi ni pesa.Dogo janja anawekwa mjini na mladee hapo ngarenaro yenyewe hajamjengea mamake nyumba hana pesa ana jina
Si tunajadili woote na ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa Wakuu yani mkaa kabisa mnajadili mada ya dogo janja na uwoya wakati wakati hapo hakuna ukwel wowote maana mbea mkuu sudy brown mpka leo ajui ukwel na haamin sas sisi tunajadili au tunatabili
HaswaaaKwenye dini ya uislamu
Ni ruksa kuoa au kuolewa na mtu mkubwa wa umri au mdogo wa umri hivyo hakuna tatizo
Amejanjaruka[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dogo janja...
Sio mchezo kabisa, wache ale vitu bhanaaAmejanjaruka
Ivi ni ajabu dogo janja kumuoa Irene uwoya??![]()
Kwa mimi sioni ajabu hata Kidogo kwani mtu mpaka anaamua kuolewa na huyo mwanaume ujue karidhika nae. Kama asingeridhika nae asingesubutu kuolewa nae.
Kuna wanawake wanatamani hata angetokea mwanaume hata chini ya dogo janja wangekubali kuolewa nawe.
Tatizo hawana bahati.
Umri ni number tu. Na utu uzima ni kutokama na mambo yako unayofanya.
Unaweza ukawa na 50years lakini ukawa unafanya mambo Kama mtoto wa 18 years.
Kama anamuhudumia mke wake ipasavyo hamna tatizo.
Uzuri wa dini ya kiislaam inaruhusu maana ni suhna. (usiniulize saana kuhusu dini[emoji23] [emoji23] ) kwa hiyo kama wamependana kwa dhati tu.
Sisi twawatakia kila la heri
Mie kulingana na utamaduni wetu,starajii kuolewa na kijana nae mzidi umri,mana wadogo zangu watamdharau,inabidi uwe na mwanaume ambae ata mtu akiingia ndani anajua baba mwenye nyumba kaja.tuache kukariri jamani tunajitoa thamani.
Sent from my HUAWEI CRR-L09 using JamiiForums mobile app
Yaani anagalau wewe unazungumzia ndoa!!! Mimi ata mahusiano siwezi kabisaaa! Yaani nina mdogo wa kiume nimemzidi miaka miwili, kwahiyo mwanaume akija kunitongoza nikagundua nimemzidi ata mwezi mmoja naona kama natoka na mdogo wangu!Mie kulingana na utamaduni wetu,starajii kuolewa na kijana nae mzidi umri,mana wadogo zangu watamdharau,inabidi uwe na mwanaume ambae ata mtu akiingia ndani anajua baba mwenye nyumba kaja.tuache kukariri jamani tunajitoa thamani.
Sent from my HUAWEI CRR-L09 using JamiiForums mobile app
basi wewe utakuwa na k. KubwaaaaaaYaani anagalau wewe unazungumzia ndoa!!! Mimi ata mahusiano siwezi kabisaaa! Yaani nina mdogo wa kiume nimemzidi miaka miwili, kwahiyo mwanaume akija kunitongoza nikagundua nimemzidi ata mwezi mmoja naona kama natoka na mdogo wangu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu hua naimagine kua mtu niliemzidi umri dudu yake nayo changa!!! [emoji23][emoji23][emoji23]