Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

Kwenye dini ya uislamu
Ni ruksa kuoa au kuolewa na mtu mkubwa wa umri au mdogo wa umri hivyo hakuna tatizo
 
watu tulitaka picha wakiwa pamoja siku ya harusi...imetumwa lakini bado hatuamini...lakini nimesikia youtube presenter mmoja akimuhoji mama ake dogo janja...na maza kathibitisha kabisa kuwa ni kweli janjaro kaoa Irene na kwamba kila kitu alimpa idhini madee asimamie....sasa cjui yule maza nae itakuwa wamempanga mapema!!!

Ndoa ya hawa wawili still questionable aise!
 
Sasa Wakuu yani mkaa kabisa mnajadili mada ya dogo janja na uwoya wakati wakati hapo hakuna ukwel wowote maana mbea mkuu sudy brown mpka leo ajui ukwel na haamin sas sisi tunajadili au tunatabili
Si tunajadili woote na ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Jamani hawajaona ule ulikuwa wimbo tu. Irenebado anaishi kwake na mwanae. Na alilipwa chake.
 

Ukishi kwa ajili ya jamii utakosea step. Fanya kile roho inapenda. Utapoteza bahati bure. Mapenzi humea popote ilimradi ni mapenzi ya ukweli
 
Yaani anagalau wewe unazungumzia ndoa!!! Mimi ata mahusiano siwezi kabisaaa! Yaani nina mdogo wa kiume nimemzidi miaka miwili, kwahiyo mwanaume akija kunitongoza nikagundua nimemzidi ata mwezi mmoja naona kama natoka na mdogo wangu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu hua naimagine kua mtu niliemzidi umri dudu yake nayo changa!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
basi wewe utakuwa na k. Kubwaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…