Wanaoshanglia 'adhabu' hiii...........

Wanaoshanglia 'adhabu' hiii...........

...lol, hivi ukishafumaniwa na mke wa mtu kisha ukalawitiwa, utapata nguvu ya kwenda shitaki?
hapana bana,...mungu atunusuru tu, najua nitachomfanyia huyo 'mume'
You never know Mkuu. Unaweza kuta wakati analawitiwa polisi wakapita kwa bahati mbaya au wakaitwa na wale wanaopinga adhabu ya kulawitiwa. Lakini point yangu iko hasa kwa anayelawiti ajue kuwa akikutwa anafanya hicho kitendo adhabu iliyo mbele yake ni miaka 30 jela halafu arudi kama atamkuta mkewe.

Haukumalizia mkuu: 'Akamuoneshe mke wake" :lol:

On a serious note: hii ni kweli kua mwanaume anapewa adhabu hiyo mtaani?

"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? Kama kweli mwanaume anapewa adhabu hiyo mitaani, The Boss atajibu kama bado. lol
 
You never know Mkuu. Unaweza kuta wakati analawitiwa polisi wakapita kwa bahati mbaya au wakaitwa na wale wanaopinga adhabu ya kulawitiwa. Lakini point yangu iko hasa kwa anayelawiti ajue kuwa akikutwa anafanya hicho kitendo adhabu iliyo mbele yake ni miaka 30 jela halafu arudi kama atamkuta mkewe.

"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? Kama kweli mwanaume anapewa adhabu hiyo mitaani, The Boss atajibu kama bado. lol

EMT mbona mpaka picha za matukio zimeletwa humu jf?
watu wakiadhibiwa baada ya kufumaniwa???
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Amejibu, anasema it is very common, mume anakutumia watu kwa kuwalipa. wengine wako so much in to the 'punishment business', wanaweza kwenda hata bila kulipiwa!)
 
Nadhani kwa sababu kulawitiwa na fedheha sana sana, na ushoga unapingwa sana huku kwetu, mtu anayelawitiwa kwa kashfa hiyo ya kutoka na mke wa mtu hawezi kuwa na ujasiri wa kushtaki polisi. So kesi inaishia mtaani tofauti na angepigwa, kuharibiwa mali ama kuuliwa.
Na hii sio suluhisho. Naijua couple malaya sana, lakini mwanamke akimkuta mumewe anazusha mtiti na small house, ila mwanaume akimkuta mkewe anaenda kumshughulikia nyumbani. Hao ndoano yao walau haina huu ufirauni.
 
EMT mbona mpaka picha za matukio zimeletwa humu jf?
watu wakiadhibiwa baada ya kufumaniwa???

Wakiadhibiwa kwa kulawitiwa live? Sijawahiona picha ya aina hiyo. Nimeona picha mpaka video clips kibao za watu wakifumaniwa lakini sio wakipewa hiyo adhabu.

Amejibu, anasema it is very common, mume anakutumia watu kwa kuwalipa. wengine wako so much in to the 'punishment business', wanaweza kwenda hata bila kulipiwa!

Haka kama mume akimtuma mtu mwingine akalawiti bado atakuwa ametenda kosa la jina as accessory of the crime committed na huyo mlawiti. But ukweli hiyo adhabu ya kulawitiwa ni solution ya juu juu tuu na sidhani kama huwa inamtatulia huyo mume tatizo husika.

Vipi kama mwanamke akiamua ku cheat na wanaume wengi bado huyo mume wake atakuwa anatuma watu wakawalawiti wote? Naona watani zetu wame-advance kidogo

Last edited by a moderator:
Mkewe atamsubiri bana! Ila akubali either yule mlawitiwa ama volunteer mpya atakuwa anamlindia LINDO. Sipati picha kama ndo umewekwa jela una miaka 30, unatoka huko na 63 (mitatu ya kesi na uchunguzi?). Ndo unajiuliza is it worth it kupigania penzi?! I wouldn't lift a finger aisee,kha!
"Akamwonyeshe mkewe" nimeicha kwa sababu kweli mkewe atakuwa anamsubiria kwa miaka yote 30? lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nadhani kwa sababu kulawitiwa na fedheha sana sana, na ushoga unapingwa sana huku kwetu, mtu anayelawitiwa kwa kashfa hiyo ya kutoka na mke wa mtu hawezi kuwa na ujasiri wa kushtaki polisi. So kesi inaishia mtaani tofauti na angepigwa, kuharibiwa mali ama kuuliwa.
Na hii sio suluhisho. Naijua couple malaya sana, lakini mwanamke akimkuta mumewe anazusha mtiti na small house, ila mwanaume akimkuta mkewe anaenda kumshughulikia nyumbani. Hao ndoano yao walau haina huu ufirauni.

mostly uswazi...huu ushenzi ndo saana
ukiishi uswazi usiguse wake za watu lol
 
Lol! Unaweza ukamshambulia akakushushia udhaifu wako A to Z! Bora ukagombane na mkeo chumbani kwenu tena! Kama yanarekebishika mtajulia humo humo!
Boss unauhakika na unachosema??

Haiwezekani kabisa wewe kuanza kumshambuli mwanaume mwenzako kwa maneno makali ukijua anachukua ngoma yako??? :rant:
 
Lol! Unaweza ukamshambulia akakushushia udhaifu wako A to Z! Bora ukagombane na mkeo chumbani kwenu tena! Kama yanarekebishika mtajulia humo humo!

This deserves a round of applause!

Last edited by a moderator:
mostly uswazi...huu ushenzi ndo saana
ukiishi uswazi usiguse wake za watu lol

Vipi aliyelawitiwa nae akaamua kutuma watu wake wamlawiti huyo mume? Mume atafanya nini akishalawitiwa? Naona haya mambo yataelekea huko.
 
Wakiadhibiwa kwa kulawitiwa live? Sijawahiona picha ya aina hiyo. Nimeona picha mpaka video clips kibao za watu wakifumaniwa lakini sio wakipewa hiyo adhabu.

Haka kama mume akimtuma mtu mwingine akalawiti bado atakuwa ametenda kosa la jina as accessory of the crime committed na huyo mlawiti. But ukweli hiyo adhabu ya kulawitiwa ni solution ya juu juu tuu na sidhani kama huwa inamtatulia huyo mume tatizo husika.

Vipi kama mwanamke akiamua ku cheat na wanaume wengi bado huyo mume wake atakuwa anatuma watu wakawalawiti wote? Naona watani zetu wame-advance kidogo
Mkuu, nimekumbuka ile discussion ya "sudden and temporary loss of self-control". Hapa sasa unaona mwanamke huyo wa Mombasa aliact pale pale, bila kupoteza muda. Ila wanaume wanachukua time na kupanga revenge. Now remember what the 'feminists' argue na ulinganishe hapo... 🙂
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Vipi aliyelawitiwa nae akaamua kutuma watu wake wamlawiti huyo mume? Mume atafanya nini akishalawitiwa? Naona haya mambo yataelekea huko.
Ndio na mimi nilikua nasema. Kwa hasira anaweza akalipiza kisasi kwa mkeo, wanao au hata wazazi!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Uswazi nahisi kama unawasingizia...
I thought ni wataalamu wa kuunda mabusha? Ama kuloga tu?
Na hiyo tabia ya kuongezewa nyama, bamia, mkaa, sabuni in exchange of the bodies sasa si inabidi kuwe na kampuni ya ulawiti ya mtaa?!
mostly uswazi...huu ushenzi ndo saana
ukiishi uswazi usiguse wake za watu lol
 
tulio weng tz tunapenda kujichukulia sheria mikonon pasi kujua nasi ni watuhumiwa wa KESI hyohyo
 
  • Thanks
Reactions: EMT
rumours....just rumours narudia.....kuna mnene mmoja alikuwa maarufu sana mjini......he commited suicide......radio mbao zinasema hiyo ilikuwa ni baada ya kufumaniwa,akafanziwa kitu mbaya na kuwa video recorded.
 
Mkuu, nimekumbuka ile discussion ya "sudden and temporary loss of self-control". Hapa sasa unaona mwanamke huyo wa Mombasa aliact pale pale, bila kupoteza muda. Ila wanaume wanachukua time na kupanga revenge. Now remember what the 'feminists' argue na ulinganishe hapo... 🙂

"Sudden and temporary loss of self-control" na provocation zina apply kwenye kesi za murder tuu, not otherwise.

Ndio na mimi nilikua nasema. Kwa hasira anaweza akalipiza kisasi kwa mkeo, wanao au hata wazazi!

Wengi huwa hawaangalii repercussion ya actions zaidi. Wanadhani wanamkomoa kumbe wanajikomoa wenyewe kiaina.
 
"Sudden and temporary loss of self-control" na provocation zina apply kwenye kesi za murder tuu, not otherwise.
ok, thank you for the info. But this would have been a good example ingekua wahusika waliteketea katika moto na tunge assume mume anatuma majambazi kuua and not just kulawiti.

Wengi huwa hawaangalii repercussion ya actions zaidi. Wanadhani wanamkomoa kumbe wanajikomoa wenyewe kiaina.
Out of topic kidogo:
In SA kuna mwanamke alitengeneza a device ya kuweka katika uke, in a way that anything that goes in cannot come out bila kuumia vikali. imekaa mfano wa mitego ya panya ya kizamani.

it is a tube with a smothe outside (which will be in contact with the internal part of the carrier) na a spiked inside. the spikes are layed in a way that they face the point the internal end. kitu kikiingia kinaingia kwa urahisi ila kakitoki kabisa, unless ukubali kujimenya. Akasema ni 'anti rape device'.

wanawake walipoambiwa namna ya kutumia walikataa kata kata wakisema kua hasira ya mtu atakae weza kujitoa hapo itakua kali kuliko hata alio kuja nayo wakati anakuja kurape. Pia wakasema kua hata akifungwa anaweza kutuma watu kulipiza kisasi because the device is so damagin on men who are trapped. Wanawake wengi walisema solution ni to stop the rape, not punish the rapist coz by then the damage is done.
 
Back
Top Bottom