Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...


Ume elimisha sana lakini ukweli unabaki, Wabunge wote waliokaa majimboni kwao kwa zaidi ya miaka 10 au vipindi viwili wanatengenezewa sana mizengwe.

Watu wa Kawe wamemchoka Halima na sio vinginevyo.
 
Ndio ujue mnA Raisi muongo kupata kutokea
 
Kabla hujasmamisha misuli ya shingo na koo, niambie hali ya majimbo ya ccm ambaya yanazid kawe ambako pesa haziliwi. Usiwe poyoyo tenda haki bila kuangalia vyama. Majimbo hoi zaidi yanaongozwa na ccm kwa nchi na bado mnataka muwape nafas ili wale zaidi
Rafiki yetu halima ni mwizi kabisa hata umtetee vipi, kibaya hata kuongea na rais au bungeni kuhusu kero za jimbo hajawahi zaidi ya matusi
 
Sipo interested na uchaguzi wa mwaka huu lakini kati ya mambo ningetamani kuona yanatokea ni huyo anayeigiza kama Mtumishi wa Mungu apigwe dafrao la Treni ya mizigo, inayovuta mabehewa 500.

Yaani Mungu wake akitenda miujiza basi aambulie kura 7, ya kwake, ya Mkewe, ya yule co star kwenye ile muvi yao ya wakubwa, na nne zilizobaki za Waumini wake.
 
Kila mwenye akili timamu anajua kwa mfumo uliowekwa hapo juu kwa mujibu wa sheria, Mbunge hana access na hizo pesa! Sasa unaweza kueleza hapa anaibaje ibaje hizo pesa?!
Napenda kufahamu mfuko wa jimbo unapewa fedha kiasi gani kwa mwaka (Annual budget), kwa maana tunaweza kupoteza muda kujadili fedha ambayo haitoshi kujenga zahanati.
 
Umetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Bwashee unaniangusha! Na wewe ulikuwa huujui huu utaratibu? Na ufafanuzi huu, ni kumtetea Mdee, au ni kuwafunua macho watu wote ambao walikuwa wanawatuhumu Wabunge wao kuwa wanazifanya fedha hizo kuwa zao?
Mbunge anaongelea mahitaji ya wananchi bungen na kwenye baraza la madiwani huko ndio proper channel, na Halina huwa anafanya hivyo. Unataka akaongee na rais mahitaji ya wananchi kwani yeye ni mweupe?

Jadili hoja dadangu, kama huna hoja; piga kimya manake inawezekana mjadala ukawa upo juu ya uwezo wako!!
 
Kumi inamtosha nw akaushe tu hana chake tena pale kawe hawamtaki hata kumsikia kabisa aisee
 
Mchungaji Msigwa vp
 
Mmesahau rais wa malawi alkua Askofu pia Mlishangilia sana alivyoingia Madarakani sasa nw mnatapatapa tu acha Gwaji awanyooshe mwaka huu bwana
 
Simuonei huruma Mbunge yeyote ambaye keshatumikia miaka 10 tayari.

Kuna wengine pia, what is so special about her.
 
Vibar
Simuonei huruma Mbunge yeyote ambaye keshatumikia miaka 10 tayari.

Kuna wengine pia, what is so special about her.
Awa vibaraka Wa Mdee wanatusumbua sn uku wameshapewa ela kazi kila cku kuja na hoja za kindezi
 
Huu ndio upuuzi uliotukuka-yaani mbunge hawezi kufanya lolote hadi akaongee na raisi. Sasa namuelewa Lissu.
Nyambiti mkubwa, hivi kazi ya mbunge ni ipi pimbi wewe? Je ni kuruka ruka au kutukana? Gwaji boy ana bonge la PR na connection, na nina uhakika Gwaji atashinda
 
Halima hana chake tena kawe katafuna pesa zote za mfuko wa jimbo kwa miaka yote, ni muda muafaka sasa atulizane kuijenga ndoa yake na bulaya [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…