Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Ila asipewe GwajiboyKumi inamtosha nw akaushe tu hana chake tena pale kawe hawamtaki hata kumsikia kabisa aisee

Unavyoongea utadhani kuna jimbo mwaka 1961 lilishakuwa tajiri tangu siku ile ya uhuru!!.
Maendeleo ni mchakato wa miaka na miaka sio sawa na upishi wa chapati na chai.
Marekani kule California kuna watu wanalala nje lakini kuna mabilionea wanaocheza sinema na viwanja vya ndege.
Tajiri na maskini walikuwepo kabla hatujazaliwa na tutakufa tukiwaacha.
Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!
Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo unaofanywa na Halima Mdee, lakini hawatuambii mkwamo wa majimbo yanayoongozwa na CCM kwa miongo kadhaa hivi sasa unatokana na hizo pesa kutafunwa na akina nani!
Kwa bahati mbaya sana, si kila mmoja anayefahamu utendaji wa serikali yetu na kutokana na hilo, ni rahisi sana watu kuamini kwamba Halima Mdee ndie anayekula pesa za Mfuko wa Jimbo la Kawe!
Aidha, Waswahili hunena kwamba, uongo ukiachwa uendelee hatimae hugeuka kuwa ukweli na watu kuuamini!! Ni hayo mawili ndiyo yamenisukuma kuelezea matumizi ya fedha za jimbo unavyokuwa!
Short version ya maelezo hayo ni hii hapa chini:
Awali ya yote, pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo hutunzwa kwenye akaunti maalumu ya jimbo husika!
Ibara ya 22(2) ya Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe!
Kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?!
Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B (Mandatory)!
-Kundi A litaundwa na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa Mipango wa Halmashauri,
-Kundi B litaundwa na Mweka Hazina wa Halmashauri na Mhasibu wa Halmashauri!
Kwa mara nyingine, utaona wanaotia mikono kwenye hiyo pesa ni watu wa serikalini peke yao!!! Na kwa kuangalia ile signing arrangement iliyotajwa hapo juu, maana yake ni kwamba Mkurugenzi pamoja na Mweka Hazina au Mhasibu wanaweza kutoa pesa; au Afisa Mipango na Mweka Hazina au Mhasibu pia wanaweza kutoa pesa.
Kwa maana nyingine, kama kweli pesa ya Mfuko wa Jimbo la Kawe imeliwa basi waliokula pesa hiyo ni watu wa serikalini kwa sababu, Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!
Bila kujali signing arrangement ya hovyo kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu, utaona wazi kwamba Mbunge hana ruhusa hata ya kutia pua kwenye hizo pesa!! Na ingawaje Ibara ya 22(5) inasema pesa itatolewa pale tu kutakapokuwa na muhtasari ambao bila shaka Mbunge anaweza kuwepo lakini bado muhtasari HAUWEZI kuzuia pesa kuibiwa!!!
Long version ya maelezo husika:
Ikumbukwe kwamba, pesa za uchocheaji wa maendeleo ya jimbo zinatumika kama ilivyoelekezwa na Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo, Sura ya 96 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2015.
Awali ya yote, Ibara ya 7(1) ya sheria hiyo inasema kwamba "Kila mgao na malipo ya fedha kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo utahidhinishwa na kamati"
Aidha, ibara ndogo ya pili inasema inasema "malipo yote kutoka kwenye kamati yatafanyika kupitia akaunti ya jimbo"!
Hivyo basi, kabla hatujaenda mbali utaona wazi kwamba pesa ni lazima iidhinishwe na kamati na inawekwa kwenye akaunti ya jimbo!!
Sasa tuone muundo wa hiyo kamati na uendeshaji wa akaunti ya jimbo kisha tutumie akili zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufahamu ni nani ana nafasi kubwa ya kutafuna hizo pesa kama kweli zimetafunwa!
Ibara ya 10(1) ya sheria husika inataja Wajumbe wa Kamati tajwa hapo juu, ambao ni:-
(a) Mbunge wa Kuchaguliwa, ambae ndie atakuwa Mwenyekiti wa Kamati
(b)Ofisa Mipango wa Wilaya ambae atakuwa Katibu wa Kamati,
(c)Madiwani wawili ambao watakuwa ni wakazi wa jimbo husika,
(d)Maafisa Watendaji wa Kata wawili, na
(e) Mtu mmoja kutoka kwenye NGO
Kwahiyo hapo utaona, role ya kwanza ya mbunge wa kuchaguliwa ni kuwa Mwenyekiti wa Kamati!
Ibara ya 11 inaelezea Majukumu ya Kamati ambayo mwenyekiti wake ndo mbunge! Na kwenye majukumu hayo, hakuna HATA MOJA linalomfanya mbunge awe karibu na pesa za mfuko wa jimbo:-
Sasa tuje kwenye fedha yenyewe manake hapo juu tumeona pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inawekwa kwenye Akaunti ya Jimbo; kwa maana hiyo wanaoendesha akaunti husika ndio wana nafasi kubwa sana ya kula hiyo pesa!
Ibara ya 21(1) inasema Mkurugenzi wa Halmashauri atamteua Mweka Hazina kwa maandishi! Bila shaka sote tunafahamu kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ni mtu wa serikali, na ndio hawa hawa wanaotumika kuhujumu upinzani wakati wa uchaguzi!!
Sasa unless uwe huna akili timamu ndipo unaweza kuamini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza kumteua mtu wa upinzani kuwa Mweka Hazina!!
Aidha, Ibara ya 21 (2) inasema Council Director au Officer in Charge atakuwa ndie Accounting Officer!!
Kwa maana nyingine, hapo utaona ni nani anaanza kuwa karibu na pesa za mfuko wa jimbo!!
Ibara ya 22(2) inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki ambayo anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe... kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?! Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B!

Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!

Ufafanuzi mzuri sana.[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120]Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!

Hahaha uzuri wa maelezo ni kuwa mnalazimika kujitetea kwa kutoa maelezo...yaani mchezo umebadilika ...baadala ya kutuhumu Kama ilivyozoeleka Sasa nyie mnatuhumiwa na mnalazimika kutoa maelezo...Safi Sana..mko on defensive...Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!

Kumbuka kuna vitu kama ujenzi wa zahanati na na shule, kuna miradi mingi mikubwa inaendelea...kwa mfano, fedha za mfuko wa maendeleo jimbo la KONGWA zimekwenda wapi?
..Je, Spika Ndugai ameiba mabilioni ya fedha za mfuko wa jimbo?
..Je, Spika Ndugai hana "connection" nzuri na serikali na mawaziri?
..Je, Spika Ndugai amekuwa haungi mkono bajeti kila mwaka?
Jimbo la kawe ni kubwa kumzidi Halima.Hahaha uzuri wa maelezo ni kuwa mnalazimika kujitetea kwa kutoa maelezo...yaani mchezo umebadilika ...baadala ya kutuhumu Kama ilivyozoeleka Sasa nyie mnatuhumiwa na mnalazimika kutoa maelezo...Safi Sana..mko on defensive...
Hafunguwi mbunge pasipo kuwepo sababu zenye kueleweka.
Yule wa Arumeru alivuliwa kabisa ubunge kwa utoro wake, ukiwa mjeuri lazima ukutane na spika mwenye kiburi.
Ukiwa unaelewa uzito wa nafasi yako huwezi kuwa na viburi vya kitoto vyenye kuwaumiza wapiga kura wako.
Kusema majimbo ya CCM yamekithiri umaskini ni kukariri maisha, siku hazibaki vile vile kama miaka ya nyuma.
Watanzania siyo wajinga🚮🚮Umetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Kumbuka kuna vitu kama ujenzi wa zahanati na na shule, kuna miradi mingi mikubwa inaendelea.
Halafu sio kweli kwamba majimbo ya wapinzani yote yana neema.
Siasa ukizijua utakuwa na uhuru mpana sana wa kimtazamo.
Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!
Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo unaofanywa na Halima Mdee, lakini hawatuambii mkwamo wa majimbo yanayoongozwa na CCM kwa miongo kadhaa hivi sasa unatokana na hizo pesa kutafunwa na akina nani!
Kwa bahati mbaya sana, si kila mmoja anayefahamu utendaji wa serikali yetu na kutokana na hilo, ni rahisi sana watu kuamini kwamba Halima Mdee ndie anayekula pesa za Mfuko wa Jimbo la Kawe!
Aidha, Waswahili hunena kwamba, uongo ukiachwa uendelee hatimae hugeuka kuwa ukweli na watu kuuamini!! Ni hayo mawili ndiyo yamenisukuma kuelezea matumizi ya fedha za jimbo unavyokuwa!
Short version ya maelezo hayo ni hii hapa chini:
Awali ya yote, pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo hutunzwa kwenye akaunti maalumu ya jimbo husika!
Ibara ya 22(2) ya Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe!
Kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?!
Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B (Mandatory)!
-Kundi A litaundwa na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa Mipango wa Halmashauri,
-Kundi B litaundwa na Mweka Hazina wa Halmashauri na Mhasibu wa Halmashauri!
Kwa mara nyingine, utaona wanaotia mikono kwenye hiyo pesa ni watu wa serikalini peke yao!!! Na kwa kuangalia ile signing arrangement iliyotajwa hapo juu, maana yake ni kwamba Mkurugenzi pamoja na Mweka Hazina au Mhasibu wanaweza kutoa pesa; au Afisa Mipango na Mweka Hazina au Mhasibu pia wanaweza kutoa pesa.
Kwa maana nyingine, kama kweli pesa ya Mfuko wa Jimbo la Kawe imeliwa basi waliokula pesa hiyo ni watu wa serikalini kwa sababu, Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!
Bila kujali signing arrangement ya hovyo kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu, utaona wazi kwamba Mbunge hana ruhusa hata ya kutia pua kwenye hizo pesa!! Na ingawaje Ibara ya 22(5) inasema pesa itatolewa pale tu kutakapokuwa na muhtasari ambao bila shaka Mbunge anaweza kuwepo lakini bado muhtasari HAUWEZI kuzuia pesa kuibiwa!!!
Long version ya maelezo husika:
Ikumbukwe kwamba, pesa za uchocheaji wa maendeleo ya jimbo zinatumika kama ilivyoelekezwa na Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo, Sura ya 96 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2015.
Awali ya yote, Ibara ya 7(1) ya sheria hiyo inasema kwamba "Kila mgao na malipo ya fedha kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo utahidhinishwa na kamati"
Aidha, ibara ndogo ya pili inasema inasema "malipo yote kutoka kwenye kamati yatafanyika kupitia akaunti ya jimbo"!
Hivyo basi, kabla hatujaenda mbali utaona wazi kwamba pesa ni lazima iidhinishwe na kamati na inawekwa kwenye akaunti ya jimbo!!
Sasa tuone muundo wa hiyo kamati na uendeshaji wa akaunti ya jimbo kisha tutumie akili zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufahamu ni nani ana nafasi kubwa ya kutafuna hizo pesa kama kweli zimetafunwa!
Ibara ya 10(1) ya sheria husika inataja Wajumbe wa Kamati tajwa hapo juu, ambao ni:-
(a) Mbunge wa Kuchaguliwa, ambae ndie atakuwa Mwenyekiti wa Kamati
(b)Ofisa Mipango wa Wilaya ambae atakuwa Katibu wa Kamati,
(c)Madiwani wawili ambao watakuwa ni wakazi wa jimbo husika,
(d)Maafisa Watendaji wa Kata wawili, na
(e) Mtu mmoja kutoka kwenye NGO
Kwahiyo hapo utaona, role ya kwanza ya mbunge wa kuchaguliwa ni kuwa Mwenyekiti wa Kamati!
Ibara ya 11 inaelezea Majukumu ya Kamati ambayo mwenyekiti wake ndo mbunge! Na kwenye majukumu hayo, hakuna HATA MOJA linalomfanya mbunge awe karibu na pesa za mfuko wa jimbo:-
Sasa tuje kwenye fedha yenyewe manake hapo juu tumeona pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inawekwa kwenye Akaunti ya Jimbo; kwa maana hiyo wanaoendesha akaunti husika ndio wana nafasi kubwa sana ya kula hiyo pesa!
Ibara ya 21(1) inasema Mkurugenzi wa Halmashauri atamteua Mweka Hazina kwa maandishi! Bila shaka sote tunafahamu kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ni mtu wa serikali, na ndio hawa hawa wanaotumika kuhujumu upinzani wakati wa uchaguzi!!
Sasa unless uwe huna akili timamu ndipo unaweza kuamini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza kumteua mtu wa upinzani kuwa Mweka Hazina!!
Aidha, Ibara ya 21 (2) inasema Council Director au Officer in Charge atakuwa ndie Accounting Officer!!
Kwa maana nyingine, hapo utaona ni nani anaanza kuwa karibu na pesa za mfuko wa jimbo!!
Ibara ya 22(2) inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki ambayo anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe... kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?! Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B!
-Kundi A litaundwa na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa Mipango wa Halmashauri,
-Kundi B litaundwa na Mweka Hazina wa Halmashauri na Mhasibu wa Halmashauri!
Kwa mara nyingine, utaona wanaotia mikono kwenye hiyo pesa ni watu wa serikalini peke yao!!! Na kwa kuangalia ile signing arrangement iliyotajwa hapo juu, maana yake ni kwamba Mkurugenzi pamoja na Mweka Hazina au Mhasibu wanaweza kutoa pesa; au Afisa Mipango na Mweka Hazina au Mhasibu pia wanaweza kutoa pesa.
Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!
Bila kujali signing arrangement ya hovyo kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu, utaona wazi kwamba Mbunge hana ruhusa hata ya kutia pua kwenye hizo pesa!! Na ingawaje Ibara ya 22(5) inasema pesa itatolewa pale tu kutakapokuwa na muhtasari ambao bila shaka Mbunge anaweza kuwepo lakini bado muhtasari HAUWEZI kuzuia pesa kuibiwa!!!
Viwanja vya ndege ni vitu strategic huwezi kuziona faida zake leo wala kesho. Masuala ya utalii huwezi kuyapima kwa mwaka mmoja au miwili...Ndugai kamfukuza Nassari, lakini jimbo la Ndugai lina changamoto kuliko la Nassari.
..Mbunge wa CCM wa Tabora Mjini alikuwa mwenyekiti wa kamati inayofukuza wabunge wa upinzani, sasa hebu niambie hali ya kiuchumi ya jimbo lake ikoje ukilinganisha na majority ya majimbo yanayoongozwa na wapinzani?
..Jimbo anapotoka Raisi Magufuli wananchi wana changamoto kubwa sana ya maji, lakini Raisi kawajengea uwanja wa ndege wa kimataifa usiokuwa na faida kwao, na usiokuwa na matumizi kwa taifa.
Badala ya kujichekesha chekesha, unatakiwa kujadili mada, au kujibu maswali yanayotokana na mada ambayo ni:-Hahaha uzuri wa maelezo ni kuwa mnalazimika kujitetea kwa kutoa maelezo...yaani mchezo umebadilika ...baadala ya kutuhumu Kama ilivyozoeleka Sasa nyie mnatuhumiwa na mnalazimika kutoa mae
Yaani unataka kutuambia Chato ni more strategic kuliko Tanga, Tabora, Morogoro, Iringa, Lindi ilikogundulika trillions of cubic feet of gas, Bukoba, Musoma, and many more?!Viwanja vya ndege ni vitu strategic huwezi kuziona faida zake leo wala kesho. Masuala ya utalii huwezi kuyapima kwa mwaka mmoja au miwili.
Kwa Tundu Lissu kuna maendeleo gani ya maana?. Yapo majimbo mengi tu ya wapinzani hayana chochote cha maana, Bunda kuna maendeleo gani?.
Na kwa awamu hii tusidanganyane. Vinajengwa vitu vingi vitakavyokuja kuinua uchumi mkuu wa taifa ndani ya miaka michache ijayo.
Chato ni altenative airport ya Mwanza airport.Yaani unataka kutuambia Chato ni more strategic kuliko Tanga, Tabora, Morogoro, Iringa, Lindi ilikogundulika trillions of cubic feet of gas, Bukoba, Musoma, and many more?!
What's so special in Chato cha kuzidi maeneo niliyotaja hapo juu?! Ile mbuga ya kutegemea kuchukua wanyama kutoka mbuga zingine?!
Sasa kama mbuga inayotegemea wanyama kutoka mbuga zingine tu mtu anaamua kuijengea International Airport, Musoma iliyo jirani na Serengeti National Park tuseme vipi?!
Hebu tupe 10 years forecast summary itakayofanya Chato International Airport kuwa economically and commercially viable ndani ya huo muda!!!
Halima umejitahidi sana kujitetea. Lakini umechelewa.Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!
Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo unaofanywa na Halima Mdee, lakini hawatuambii mkwamo wa majimbo yanayoongozwa na CCM kwa miongo kadhaa hivi sasa unatokana na hizo pesa kutafunwa na akina nani!
Kwa bahati mbaya sana, si kila mmoja anayefahamu utendaji wa serikali yetu na kutokana na hilo, ni rahisi sana watu kuamini kwamba Halima Mdee ndie anayekula pesa za Mfuko wa Jimbo la Kawe!
Aidha, Waswahili hunena kwamba, uongo ukiachwa uendelee hatimae hugeuka kuwa ukweli na watu kuuamini!! Ni hayo mawili ndiyo yamenisukuma kuelezea matumizi ya fedha za jimbo unavyokuwa!
Short version ya maelezo hayo ni hii hapa chini:
Awali ya yote, pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo hutunzwa kwenye akaunti maalumu ya jimbo husika!
Ibara ya 22(2) ya Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe!
Kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?!
Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B (Mandatory)!
-Kundi A litaundwa na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa Mipango wa Halmashauri,
-Kundi B litaundwa na Mweka Hazina wa Halmashauri na Mhasibu wa Halmashauri!
Kwa mara nyingine, utaona wanaotia mikono kwenye hiyo pesa ni watu wa serikalini peke yao!!! Na kwa kuangalia ile signing arrangement iliyotajwa hapo juu, maana yake ni kwamba Mkurugenzi pamoja na Mweka Hazina au Mhasibu wanaweza kutoa pesa; au Afisa Mipango na Mweka Hazina au Mhasibu pia wanaweza kutoa pesa.
Kwa maana nyingine, kama kweli pesa ya Mfuko wa Jimbo la Kawe imeliwa basi waliokula pesa hiyo ni watu wa serikalini kwa sababu, Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!
Bila kujali signing arrangement ya hovyo kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu, utaona wazi kwamba Mbunge hana ruhusa hata ya kutia pua kwenye hizo pesa!! Na ingawaje Ibara ya 22(5) inasema pesa itatolewa pale tu kutakapokuwa na muhtasari ambao bila shaka Mbunge anaweza kuwepo lakini bado muhtasari HAUWEZI kuzuia pesa kuibiwa!!!
Long version ya maelezo husika:
Ikumbukwe kwamba, pesa za uchocheaji wa maendeleo ya jimbo zinatumika kama ilivyoelekezwa na Sheria ya Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo, Sura ya 96 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2015.
Awali ya yote, Ibara ya 7(1) ya sheria hiyo inasema kwamba "Kila mgao na malipo ya fedha kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo utahidhinishwa na kamati"
Aidha, ibara ndogo ya pili inasema inasema "malipo yote kutoka kwenye kamati yatafanyika kupitia akaunti ya jimbo"!
Hivyo basi, kabla hatujaenda mbali utaona wazi kwamba pesa ni lazima iidhinishwe na kamati na inawekwa kwenye akaunti ya jimbo!!
Sasa tuone muundo wa hiyo kamati na uendeshaji wa akaunti ya jimbo kisha tutumie akili zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufahamu ni nani ana nafasi kubwa ya kutafuna hizo pesa kama kweli zimetafunwa!
Ibara ya 10(1) ya sheria husika inataja Wajumbe wa Kamati tajwa hapo juu, ambao ni:-
(a) Mbunge wa Kuchaguliwa, ambae ndie atakuwa Mwenyekiti wa Kamati
(b)Ofisa Mipango wa Wilaya ambae atakuwa Katibu wa Kamati,
(c)Madiwani wawili ambao watakuwa ni wakazi wa jimbo husika,
(d)Maafisa Watendaji wa Kata wawili, na
(e) Mtu mmoja kutoka kwenye NGO
Kwahiyo hapo utaona, role ya kwanza ya mbunge wa kuchaguliwa ni kuwa Mwenyekiti wa Kamati!
Ibara ya 11 inaelezea Majukumu ya Kamati ambayo mwenyekiti wake ndo mbunge! Na kwenye majukumu hayo, hakuna HATA MOJA linalomfanya mbunge awe karibu na pesa za mfuko wa jimbo:-
Sasa tuje kwenye fedha yenyewe manake hapo juu tumeona pesa kutoka Mfuko wa Uchocheaji wa Maendeleo ya Jimbo inawekwa kwenye Akaunti ya Jimbo; kwa maana hiyo wanaoendesha akaunti husika ndio wana nafasi kubwa sana ya kula hiyo pesa!
Ibara ya 21(1) inasema Mkurugenzi wa Halmashauri atamteua Mweka Hazina kwa maandishi! Bila shaka sote tunafahamu kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ni mtu wa serikali, na ndio hawa hawa wanaotumika kuhujumu upinzani wakati wa uchaguzi!!
Sasa unless uwe huna akili timamu ndipo unaweza kuamini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza kumteua mtu wa upinzani kuwa Mweka Hazina!!
Aidha, Ibara ya 21 (2) inasema Council Director au Officer in Charge atakuwa ndie Accounting Officer!!
Kwa maana nyingine, hapo utaona ni nani anaanza kuwa karibu na pesa za mfuko wa jimbo!!
Ibara ya 22(2) inampa mamlaka Mkurugenzi kuteua benki ambayo anayotaka Akaunti ya Jimbo ifunguliwe... kwa maana nyingine, Mbunge hana hata nafasi ya kusema akaunti ifunguliwe benki ipi lakini wenye nafasi hiyo ni watu wa serikalini!!!
Sasa ndo hapo sasa...akaunti imeshafunguliwa kwenye benki iliyotakiwa na DED mwenyewe... Je, mfumo wa utoaji pesa unakuaje?! Swali hilo linajibiwa na Ibara ay 22 (3) (a &b) kwamba:-
- Saini 2 zitahitajika katika kufanya malipo au kutoa pesa, na katika saini 2 hizo, saini moja ni ya mtu kutoka Kundi A na nyingine kutoka Kundi B!
-Kundi A litaundwa na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa Mipango wa Halmashauri,
-Kundi B litaundwa na Mweka Hazina wa Halmashauri na Mhasibu wa Halmashauri!
Kwa mara nyingine, utaona wanaotia mikono kwenye hiyo pesa ni watu wa serikalini peke yao!!! Na kwa kuangalia ile signing arrangement iliyotajwa hapo juu, maana yake ni kwamba Mkurugenzi pamoja na Mweka Hazina au Mhasibu wanaweza kutoa pesa; au Afisa Mipango na Mweka Hazina au Mhasibu pia wanaweza kutoa pesa.
Mbunge kama mbunge, pamoja na kuwa ndie mwenyekiti wa kamati lakini ahusiki kabisa na utoaji au ufanyaji wa malipo!
Bila kujali signing arrangement ya hovyo kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu, utaona wazi kwamba Mbunge hana ruhusa hata ya kutia pua kwenye hizo pesa!! Na ingawaje Ibara ya 22(5) inasema pesa itatolewa pale tu kutakapokuwa na muhtasari ambao bila shaka Mbunge anaweza kuwepo lakini bado muhtasari HAUWEZI kuzuia pesa kuibiwa!!!
Natakiwa na Nani kujibu mada hiyo?! Kauli yako ni ya kidikteta...hapa JF hakuna kulazimishana...naweza nikaamua kucheka tu..naweza nikajibu ok..naweza nisijibu chochote...ambacho siruhusiwi ni matusi tu...Badala ya kujichekesha chekesha, unatakiwa kujadili mada, au kujibu maswali yanayotokana na mada ambayo ni:-
1. Kwa mfumo huo uliotajwa kwenye Sheria ya Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo, huyo Halima anaibaje ibaje?
2. Kama mkwamo wa Kawe unatokana na Halima kutafuna pesa za jimbo, je mkwamo wa majimbo mia kadhaa yanayoongozwa na CCM unatokana na wizi unaofanywa na nani?
So, jibu hayo maswali na kama huna jibu, piga kimya coz' napenda kujadili kwa hoja!
Unauliza Shahawa Mbunyeni?Ina maana JPM nae kafanya hizi cheap propaganda huko Kawe?!