Ashajua nyiny hamjui kitu mnafuata tu mkumbo rejea ile kujenga na kununua kwa pesa zetu nilicheka sn angekuwa nch zilizostarabika anheshapigwa na mayai vizaNi jambo la ajabu na aibu kubwa kuwa na Rais anayesema uongo hadharani kuwataja wabunge hasa wa upinzani kuwa ndio wanakula pesa za mfuko wa jimbo wakati anafahamu kuwa sheria haina nafasi kwa mbunge kutumia pesa hizo.
Rais Magufuli kwa kweli hatufai kabisa maana amekuwa msema uongo bila hata aibu hadharani.
Kwa nini ni muongo hivi?
Sasa hapo, mwanao anajua kiingereza na hana phd huoni Jiwe ni reject mweupe kichwani?Kiingereza ndio nn Mangi acha upumbavu bac kiingereza hata mwanangu anaongea aisee wewe unashoboka acha undina dogo
Mbona hujanijibu wewee sista du? Kamoooonn nijibuNyambiti mkubwa, hivi kazi ya mbunge ni ipi pimbi wewe? Je ni kuruka ruka au kutukana? Gwaji boy ana bonge la PR na connection, na nina uhakika Gwaji atashinda
Bwashee unaniangusha! Na wewe ulikuwa huujui huu utaratibu? Na ufafanuzi huu, ni kumtetea Mdee, au ni kuwafunua macho watu wote ambao walikuwa wanawatuhumu Wabunge wao kuwa wanazifanya fedha hizo kuwa zao?
MaCCM jipangeni upya na mtumie mbinu za kisasa kuwashawishi WANANCHI,tatizo mnafikili watanzania wa leo ni wazama za mawe,hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kumchagua Gwajima,Umetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Magufuli ni kituko.Ni jambo la ajabu na aibu kubwa kuwa na Rais anayesema uongo hadharani kuwataja wabunge hasa wa upinzani kuwa ndio wanakula pesa za mfuko wa jimbo wakati anafahamu kuwa sheria haina nafasi kwa mbunge kutumia pesa hizo.
Rais Magufuli kwa kweli hatufai kabisa maana amekuwa msema uongo bila hata aibu hadharani.
Kwa nini ni muongo hivi?
Hahaaaa kama nguvu inayotumika kutuonyesha maendeleo yaliyofanywa na ccmUmetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Siku zote nasema hakuna mwenye monopoly ya matusi. Kuniita Nyambiti au Pimbi hakukusaidii lolote wala haliendelezi mjadala kuwa na tija. Nani atashinda kati ya Halima na huyo umuitae Gwaji siyo issue kwangu. Soma kwa umakini uelewe hoja yangu kama utataka, ukifanya hivyo lete mrejesho wa kisomi, vinginevyo tufunge huu mjadala.Nyambiti mkubwa, hivi kazi ya mbunge ni ipi pimbi wewe? Je ni kuruka ruka au kutukana? Gwaji boy ana bonge la PR na connection, na nina uhakika Gwaji atashinda
Hizo pesa mmekula CCM kama kawaida yenu, hatutaki makelele yenu.Rafiki yetu halima ni mwizi kabisa hata umtetee vipi, kibaya hata kuongea na rais au bungeni kuhusu kero za jimbo hajawahi zaidi ya matusi
Ametumia vithibitisho ikiwemo sheria. Hebu nawe leta vithibitisho kumpingaUmetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Kaja bunju wiki mbili zilizopita na kabla ya hapo alionekana 2010.Rafiki yetu halima ni mwizi kabisa hata umtetee vipi, kibaya hata kuongea na rais au bungeni kuhusu kero za jimbo hajawahi zaidi ya matusi
Kaja bunju wiki mbili zilizopita na kabla ya hapo alionekana 2010.
Jamaa kaandika mbwembwe nyingi. Zikijadiliwa mada zenye kuyahusu maslahi ya kawe huyo mbunge na wenzake wanavaa vitambaa midomoni na kutoka nje.
Rais anajua anachoongea kuwahusu hao jamaa wa CDM na wabunge wengine wa upinzani.
Hajamtetea Halima sababu Halima hana hatia yoyote. Ameeleza ukweli jinsi hiyo pesa inavyotunzwa na kupangiwa na kuidhinidhishiwa matumizi. Kila mwenye akili timamu anajua wazi kiongozi yeyote wa upinzani angekula hata senti moja ya huo mfuko hangekaa hata siku ipite kabla ya kuburuzwa mahakamani. Majizi makubwa nchi hii ni wanaccm. Shangaa kwa nini mahakama ya mafisadi haina wateja (wengi). Weka jimbo la Kawe pembeni, jaribu kuangazia mjimbo mengine ambayo wabunge wao ni wa ccm- mfano Kongwa. Mbona majimbo hayo kuna umaskini mkubwa na hatusikii propaganda za ovyo kwamba pesa imeliwa na mbunge? Propaganda hizi lengo lake ni kuendelea kuwapumbaza Watanzania waendelee kuichagua ccm ambayo imetawala nchi hii miaka 60 sasa bila nchi kupata maendeleo yanayolingana na rasilimali zilizopo.Umetumia nguvu kubwa sana kumtetea Halima Mdee!
Kwa mara ya kwanza naona umetumia kichwa chenye ubongo kuandika,si kama kawaida yako ya kutumia kichwa kubebea masikio,macho,pua na mdomo.Ume elimisha sana lakini ukweli unabaki, Wabunge wote waliokaa majimboni kwao kwa zaidi ya miaka 10 au vipindi viwili wanatengenezewa sana mizengwe.
Watu wa Kawe wamemchoka Halima na sio vinginevyo.
JK,Chige,
..nashukuru kwa ELIMU uliyonipa.
..haswa kuhusu kamati inayoelekeza matumizi ya fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo.
..mimi kilio changu ni kwamba fedha hizo ni kidogo sana kuweza kuwa na impact ktk maendeleo ya wananchi.