Kuna ndugu yangu kajisajili TAESA.
Huu mwaka wa tatu anasubir majibu.
Kweli???Kuna ndugu yangu kajisajili TAESA.
Huu mwaka wa tatu anasubir majibu.
Hivi kazi za hawa jamaa ni nini?Kuna ndugu yangu kajisajili TAESA.
Huu mwaka wa tatu anasubir majibu.
Taesa wamekaa tu kwenye ofisi wanasubiri makampuni ndo yapeleke maombi ya watu badala taesa waeke agents ambao wanakua wanazunguka kwenye mashirika hadi hukoo mikoani kabisa unakuta mahali kuna uhitaji wa watumishi na hakuna mtu anajitolea kutokana na husda za wakurugenzi ila kwa kuwa taesa niya serikali inaeza kupeleka watu wanakula tu mishaara ya bure wamekaa oisini yaniWanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA.
Jiulize, je wewe ni:
1. Unayejali kazi (Professional)
2. Mwadilifu (Ethical)
3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude)
4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value).
Jiandikishe TAESA.
HAUKUWA MIONGONI MWA WALIOJIANDIKISHA...?Mimi pamoja na vijana wenzangu 15fresh from uni tulipata intenship kupitia TAESA tena mm sikujiandikisha walinipigia simu wenyewe.
The thing is real kuweni wavumilivu mnajua graduates ni wengi plus inadepend na kozi uliyosomea na uhitaji wake.
Hiyo ndio sababu pekee uliyoiwaza [emoji23]HAUKUWA MIONGONI MWA WALIOJIANDIKISHA...?
Kwaio TAESA waliota tu, kwamba wewe ushamaliza chuo wakaamua kukuvutia Uzi ili wakupe intern sio?