Kwani wewe unahisi kujiandikisha maana yake ni nini, mpaka useme hukujiandikisha mala unakuja kusema uliwapa information zako?Hiyo ndio sababu pekee uliyoiwaza [emoji23]
To cut long story short walikua wanatafuta watu wa course yangu sabab hatupo wengi ikabidi watoe tangazo nlipomcheki mtoa tangazo akawapa info zangu wakanipigia.