Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,602
Reaction score
6,181
Heshima kwenu nyote.

mods Ppz usiuunganishe huu uzi
Hivi karibuni niliwahi kuanzisha uzi hapa, na kwa wale ambao hawajauona nawashauri waupitie Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?. Kilichonishangaza ni idadi kubwa ya watu walionitumia ujumbe binafsi (PM) wakitaka niwaunganishie, jambo lililonionyesha wazi kuwa uhitaji huu ni mkubwa, hata ndani ya JF.

Kwa sababu hiyo, nimeamua kuanzisha uzi huu maalumu kwa ajili ya kuwasaidia wanaotafuta wachumba wa ndoa au wa kuishi pamoja kwa malengo ya kudumu. Uzi huu haujalenga mahusiano ya muda mfupi, ya kihuni, au ya kula na kuondoka, bali watu waliodhamiria maisha ya pamoja yenye heshima.

Kwa kuwa wapo ambao hawapendi kufahamika au wana wasiwasi kutumia ID zao hadharani, unaweza kunitumia PM ukinipa vigezo vyako vyote unavyovitaka kwa mwenza wako. Tafadhali usinitumie jina lako au utambulisho wako binafsi. Nitaweka taarifa hizo kwenye comment na nitaifanya kwa umakini sana na kulinda taarifa zako binafsi i bila kuvunja sheria na taratibu za JF.

Nitakuwa napost maombi haya kwenye comments, hivyo mwenye uhitaji anashauriwa kupitia kupitia comments mara kwa mara. Endapo mtakutana na mwenye sifa mnazotafuta, nitaunganisha pande husika kwa mawasiliano ya faragha.

Lengo ni kusaidiana Tu. MODS musiuunganishe na uzi mwingine huu hapa ni tofauti
 
Bikra utazikuta huko mbinguni kwa Allah hapa duniani utazitafuta sana.
Ndio tunafuata Ushauri wa Allah, Kama Allah anatuozesha wanawake Bikra basi na sisi tuoe Bikra hivyo basi mwenye Bikra ajee...

waache kusumbua humu ambao hawana bikra tafadhali msitafute wachumba subirini mpaka atakae wapenda aje mwenyewe.
 
Wazinz hawaishagi
 
Admin naomba kuuliza.
Mfano ww binafsi umetoa sifa hizo za aliyekufuata PM kwa comment . Na aliyeona hizo sifa kwa comment na zinamfaa . Je anatakiwa aje PM au ajibu kama reply kwenye hiyo comment yenye vigezo?.

Mm nauliza tu kumsaidia shem wangu Seran. Maana Ana rafik ake ana siri sana😁😁😁 . Anaweza akaona vigezo na akaogopa. Hebu tufafanulie.

Uzi huu haujalenga mahusiano ya muda mfupi, ya kihuni, au ya kula na kuondoka,

Kama hili ndio lengo bas usimame Imara kwenye hilo.
-What if lengo likawa hilo alaf jamaa akala na akasepa?.
-Una uhakika gan kwamba wote wanaokufuata wana lengo hilo?.

Ipo haja ya kuweka control measure kujua anayehitaj kwa starehe au kuoa. Ifikirie.
 
Ndio tunafuata Ushauri wa Allah, Kama Allah anatuozesha wanawake Bikra basi na sisi tuoe Bikra hivyo basi mwenye Bikra ajee...

waache kusumbua humu ambao hawana bikra tafadhali msitafute wachumba subirini mpaka atakae wapenda aje mwenyewe.

Kabisa na kupiga gambe la haja. Maana huko itakuwa ni kugegeda mademu na kuogelea kwenye mito ya pombe. Imagine huyu anaogelea kwenye mto wa Hennessy, huyu Heineken mwingine Serengeti. Yaaani i full ku enjoy huku mabinti 72 bikra zinajiunga kila baada ya kuwachakata wanatusubiri. Mi ntataka nimuonje Aisha yule mke mdogo wa Muddy
 
Ndio tunafuata Ushauri wa Allah, Kama Allah anatuozesha wanawake Bikra basi na sisi tuoe Bikra hivyo basi mwenye Bikra ajee...

waache kusumbua humu ambao hawana bikra tafadhali msitafute wachumba subirini mpaka atakae wapenda aje mwenyewe.

Kuwa serious. Toa vigezo PM. DALALI MKUU ataviweka hadharan.

Alaf DALALI MKUU kama ikikupendeza weka na format kuwa mtu anayekuja Pm aandike maelezo gan. Ili Iwe inasomeka na kueleweka kwa usahihi na haraka.
 
Back
Top Bottom