Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Admin naomba kuuliza.
Mfano ww binafsi umetoa sifa hizo za aliyekufuata PM kwa comment . Na aliyeona hizo sifa kwa comment na zinamfaa . Je anatakiwa aje PM au ajibu kama reply kwenye hiyo comment yenye vigezo?.

Mm nauliza tu kumsaidia shem wangu Seran. Maana Ana rafik ake ana siri sana😁😁😁 . Anaweza akaona vigezo na akaogopa. Hebu tufafanulie.

Kama hili ndio lengo bas usimame Imara kwenye hilo.
-What if lengo likawa hilo alaf jamaa akala na akasepa?.
-Una uhakika gan kwamba wote wanaokufuata wana lengo hilo?.

Ipo haja ya kuweka control measure kujua anayehitaj kwa starehe au kuoa. Ifikirie.
Seroo ni demu wetu wote humu ndani
 
Heshima kwenu nyote.

mods Ppz usiuunganishe huu uzi
Hivi karibuni niliwahi kuanzisha uzi hapa, na kwa wale ambao hawajauona nawashauri waupitie Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?. Kilichonishangaza ni idadi kubwa ya watu walionitumia ujumbe binafsi (PM) wakitaka niwaunganishie, jambo lililonionyesha wazi kuwa uhitaji huu ni mkubwa, hata ndani ya JF.

Kwa sababu hiyo, nimeamua kuanzisha uzi huu maalumu kwa ajili ya kuwasaidia wanaotafuta wachumba wa ndoa au wa kuishi pamoja kwa malengo ya kudumu. Uzi huu haujalenga mahusiano ya muda mfupi, ya kihuni, au ya kula na kuondoka, bali watu waliodhamiria maisha ya pamoja yenye heshima.

Kwa kuwa wapo ambao hawapendi kufahamika au wana wasiwasi kutumia ID zao hadharani, unaweza kunitumia PM ukinipa vigezo vyako vyote unavyovitaka kwa mwenza wako. Tafadhali usinitumie jina lako au utambulisho wako binafsi. Nitaweka taarifa hizo kwenye comment na nitaifanya kwa umakini sana na kulinda taarifa zako binafsi i bila kuvunja sheria na taratibu za JF.

Nitakuwa napost maombi haya kwenye comments, hivyo mwenye uhitaji anashauriwa kupitia kupitia comments mara kwa mara. Endapo mtakutana na mwenye sifa mnazotafuta, nitaunganisha pande husika kwa mawasiliano ya faragha.

Lengo ni kusaidiana Tu. MODS musiuunganishe na uzi mwingine huu hapa ni tofauti
Muunganishaji mwenyewe Dalali mkuu! Si utawaunganisha na vibwengo wakuu?
 
Admin naomba kuuliza.
Mfano ww binafsi umetoa sifa hizo za aliyekufuata PM kwa comment . Na aliyeona hizo sifa kwa comment na zinamfaa . Je anatakiwa aje PM au ajibu kama reply kwenye hiyo comment yenye vigezo?.

Mm nauliza tu kumsaidia shem wangu Seran. Maana Ana rafik ake ana siri sana😁😁😁 . Anaweza akaona vigezo na akaogopa. Hebu tufafanulie.

Kama hili ndio lengo bas usimame Imara kwenye hilo.
-What if lengo likawa hilo alaf jamaa akala na akasepa?.
-Una uhakika gan kwamba wote wanaokufuata wana lengo hilo?.

Ipo haja ya kuweka control measure kujua anayehitaj kwa starehe au kuoa. Ifikirie.
Yani hii kitu hata usiiamini shem watu watakulana sana hapa😂

Yaani sitaki kuamini yule rafkiangu mwenye siri bado unaye kichwani🤭
 
Kabisa na kupiga gambe la haja. Maana huko itakuwa ni kugegeda mademu na kuogelea kwenye mito ya pombe. Imagine huyu anaogelea kwenye mto wa Hennessy, huyu Heineken mwingine Serengeti. Yaaani i full ku enjoy huku mabinti 72 bikra zinajiunga kila baada ya kuwachakata wanatusubiri. Mi ntataka nimuonje Aisha yule mke mdogo wa Muddy
We chizi nini kwanza Quran haijata idadi ya wanawake utakaozeshwa kingine mke wako unaenda nae peponi atakua mke wako vile vile hivyo mkeo wa duniani na peponi ni mkeo, sema unaongezewa hao mahururain Sasa Bikra
 
Yani hii kitu hata usiiamini shem watu watakulana sana hapa😂

Yaani sitaki kumini yule rafkiangu mwenye siri bado unaye kichwani🤭

Ndio. Na Msalimie sana. Mwambie secret admirer amemsalimia.

Uwe na usiku mwema Shem.

Alaf Uache unaa. Fikisha hizo salam 😁😁😁😁
Mara ya 789 leo natuma salam na muhusika hana hata taarifa. Ooops. Hebu kuwa mwana aisee.
 
Zimefika shem usijali kabisa hii ya mara 800 inafika 😅 mlale salama acha mi niendelee kusubiri connection..
 
Back
Top Bottom