Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sikupokea wapi😳 nasingiziwa vitu humu🙌🏾Muongo mkubwa wewe!!!! Nikakutumia fantasy hata hukupokea.
Sikupokea wapi😳 nasingiziwa vitu humu🙌🏾Muongo mkubwa wewe!!!! Nikakutumia fantasy hata hukupokea.
WeweNani atakuwa nao home kuwalea😂
Kisa??Wewe
Kutoa tu namba ya gari ni dalili tosha ya uongo.Sikupokea wapi😳 nasingiziwa vitu humu🙌🏾
Kutoa tu namba ya gari ni dalili tosha ya uongo.
We nawe ni mviziaji tu.Bro usimlaumu sana Shem angu kabisa Seran .
Ana moyo teketeke, moyo unaolainika na mahaba kama tissue kwenye maji, yaan analowa mapenz dk 0, akipenda moyo wale hulegea na unakuwa sio wake tena. Anakupea kabisa 😁😁😁😁
Kwahiyo anajikinga sana na mahaba sikuhizi.
Una uhakika ni mimi🙄Kutoa tu namba ya gari ni dalili tosha ya uongo.
😂😂😂😂😂Wah eh sifa za mtu ni mtakaye hayupo humu so kila la kheri watu wa jf
Hii account mnatumia wangapi?Una uhakika ni mimi🙄
Kumekuchaaaaa!!!mwalimu hapa anatafuta mume
JINSIA:
Mwanamke
UMRI:
Miaka 36
KAZI:
Mwalimu dini (Mkristo)
MAHALI:
Naishi Iringa kwa sasa
KABILA:
Mkerewe
ELIMU:
Degree
pia nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa
SIFA ZA MUME NINAYEMTAFUTA:
– Awe mrefu (na mimi ni mrefu)
– Awe mpole na mchamungu
– Umri kuanzia miaka 38
– Awe na kazi halali
– Awe na uwezo wa kuongoza familia
– Asiwe mkwepa majukumu
Natumia mmHii account mnatumia wangapi?
Haya bhana.Natumia mm
Kuna siku nilikuahidi jambo😂Haya bhana.
Umesahau eti!!! Au siku ile walikuwa wamekuhack!!Kuna siku nilikuahidi jambo😂
Hebu nioneshe aisee uzee huu🫢Umesahau eti!!! Au siku ile walikuwa wamekuhack!!
hahaha nimecheka kweli kweli. Mke mdogo wa ndoaAmbao tayari tupo kwenye ndoa na ndoa zetu zinapumulia mashine,tunaruhusiwa kutafuta michepuko humu?