APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,278
- 12,584
Unajua sana wewe, we ni actress?Hebu nioneshe aisee uzee huu🫢
Unajua sana wewe, we ni actress?Hebu nioneshe aisee uzee huu🫢
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ambao tayari tupo kwenye ndoa na ndoa zetu zinapumulia mashine,tunaruhusiwa kutafuta michepuko humu?
hahahaShida yanayotafuta wanaume yote ni mishangazi,imechapika huko weee mpaka imekuwa black,then yamejirudi yanatafuta mabwana,kwa kweli nahtaji mwanamke wa kuoa, umri 18 hadi 22, sifa zangu umri. Miaka 25, elimu 4m4 kazi biashara, mwonekano mweupe mrefu kichogo, binti yeyote aliyetayari anifuate pm
😄 🤣 😂Ambao tayari tupo kwenye ndoa na ndoa zetu zinapumulia mashine,tunaruhusiwa kutafuta michepuko humu?
chek kwenye coments naman maelezo yanayoandikwaMkuu nitafutie mwanamke yeyote awe mrefu mwembamba asiwe na mtoii
Ilibaki kidogo nipate mume 😄 dahJINSI: Me
UMRI: Miaka 37
KAZI: Biashara
MAKAZI: Dar es Salaam
ELIMU: Diploma – Account
UMBO: Mrefu kiasi, mweusi
KABILA: Msukuma
NAHITAJI MWANAMKE:
RANGI: Mweupe
KAZI: Awe anajishughulisha na chochote halali
HALI YA NDOA: Single mama
WATOTO: Asizidi mtoto mmoja
UMRI: Chini ya miaka 30
AFYA: Awe tayari kupima VVU
Umekosaje sasaIlibaki kidogo nipate mume 😄 dah
Vigezo nimepwaya 🤣Umekosaje sasa
pole endelea kupita pita hapa mara kwa mara au niletee vigezo vyako pm tukupostieVigezo nimepwaya 🤣
Nitapitia hapa hapapole endelea kupita pita hapa mara kwa mara au niletee vigezo vyako pm tukupostie
poa poaNitapitia hapa hapa