Wenye bikra hawapo JFNatoa challenge muislam mwenye Bikra ajitokeze ntamuoa itapendeza akiwa maskini tupuguziane ugumu wa maisha.
Wenye bikra hawapo JFNatoa challenge muislam mwenye Bikra ajitokeze ntamuoa itapendeza akiwa maskini tupuguziane ugumu wa maisha.
njoo tuchepuke wote mzee mwenzangu.. id mpya isikutishe nalinda brand 😅Ambao tayari tupo kwenye ndoa na ndoa zetu zinapumulia mashine,tunaruhusiwa kutafuta michepuko humu?
Sasa wa 22 yuko hot sokoni aje huku kutafuta nini 😩wewe njoo tulia kwa mshangazi, hujui wenye experience ndo wazuri 😂Shida yanayotafuta wanaume yote ni mishangazi,imechapika huko weee mpaka imekuwa black,then yamejirudi yanatafuta mabwana,kwa kweli nahtaji mwanamke wa kuoa, umri 18 hadi 22, sifa zangu umri. Miaka 25, elimu 4m4 kazi biashara, mwonekano mweupe mrefu kichogo, binti yeyote aliyetayari anifuate pm
Sasa wanatafuta ndoa za nini? Kama huna Bikra inabidi Usubiri utafutwe na mwenye uhitaji sio kutafuta mtu, wanawake wa kitanzania wengi ni dhaifu linapokuja suala la hela akishakua muhuni hajali ndoa yenye kipato kidogo so Bikra nao ni wanawake lakini huenda akawa na moyo angalau ju wewe ndio wa kwanza wake japo percent ni ndogo ila zinauafadhali.Wenye bikra hawapo JF
HeheheheeeNdoa sitaki labda uje tuchezeane tu😋
hakuna kinachoshindikana mzee wanguTaarifa mdugu mwenyekiti
Sisi wanandoaa tunaomba na grp la.mahawaraaa humu kwenye ndoa kuna motooo
mkuu comision ni baada ya kazi yote mumekubaliana unajua hizi dili ukiwa tapeli unaweza poteza vitu vingi sana. Moja kati ya nguzo za kazi yoyote ni UAMINIFU kuna wadau nimewahi kufanya nao kazi huku na wachache wamenitapeli. kazi za mtandaon huwa nachukua hela kamisheni baada ya kaziDalali akishachukua commission yake hapokei simu.
Waache ndugu zangu😂Msukuma na mwanamke mweupe ni 👍🏼😁.
Kuna siku bodaboda (Msukuma) kidogo anibwage chini kwa kugeuka kwamwangalia white.
Kumbe ndugu zako😁Waache ndugu zangu😂
😁😁😁Taarifa mdugu mwenyekiti
Sisi wanandoaa tunaomba na grp la.mahawaraaa humu kwenye ndoa kuna motooo
Hiv hata wa kike mpo hivyo?Waache ndugu zangu😂
We kama una binti mweupe mlete tuongee biashara😅Kumbe ndugu zako😁
Sisi hatuna huo ujeuri! Watoa ng’ombe ndio wako busy nao wanatubagua weusi tii🤦🏽♀️Hiv hata wa kike mpo hivyo?
Amejitunza huyu mwanamke, 34yrs hana mtoto.TALL UNAITWA HUKU
JINSIA: Ke
UMRI: Miaka 34
MAKAZI: Dar es Salaam
DINI: Mkristo
WATOTO: Sina mtoto
KAZI: Nimeajiriwa
ELIMU: Bachelor Degree
TABIA: Mwenye upendo wa kweli
NAHITAJI MUME:
UMRI: Kuanzia miaka 34 na kuendelea
DINI: Mkristo
UMBO: Awe mrefu (mimi ni mrefu pia)
ELIMU: Bachelor Degree na kuendelea
SICAHAGUI DINI WALA KABILA
sanaAmejitunza huyu mwanamke, 34yrs hana mtoto.
Hongera yake.
Umenifungua macho mkuu.Amejitunza huyu mwanamke, 34yrs hana mtoto.
Hongera yake.
Ndo maana ake, kutokua single mama.Umenifungua macho mkuu.
Siku hizi kujitunza sio kuwa na bikra ni kutokuwa na mtoto.
Haswaaaasana