Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Wazee hapa vipi

JINSIA: Me
UMRI: Miaka 45
WATOTO: Watoto wanne
HALI YA NDOA: Niliwahi kuoa, mke alifariki
KAZI: Mtumishi wa Umma
ELIMU: Degree
MAKAZI: Dar es Salaam / Dodoma
UMBO: Mfupi, mweusi
DINI: Mkristo Katoliki (RC)


NAMTAFUTA MKE:
UMRI:
Kuanzia miaka 40
WATOTO: Awe na mtoto au asiwe naye (yote sawa)
RANGI: Mweupe
KAZI: Kama hana kazi itapendeza zaidi
ELIMU: Awe na ufahamu wa kutosha
 
JINSIA: Me
KABILA: Mchaga
UMBO: Mrefu (juu ya futi 5)
MWONEKANO: Maji ya kunde
MAKAZI: Ubungo (Kimara hadi Mbezi)


NAMTAFUTA MWANAMKE:
KABILA:
Mchaga
RANGI: Mweupe
UMRI: Chini ya miaka 28
ELIMU: Kuanzia Certificate
TABIA: Asiwe singomama
MAKAZI: Ubungo – Kimara hadi Mbezi
 
Hivi wakati wa kutafuta mke au mume kigezo cha Elimu huwa ni cha kazi gani hasa?

unajua waafrica mnulimbukeni sana.
kila mtu anavigezo vyake mkuu hivyo unaweza ukawa limbukeni kwa kuwa tu tofauti na wanavyotaka wengine. maana kuna watu hasa ME hawapendi wanawake wasomi sana na KE wanapenda wanaume wasomi na wakati mwingine tofauti
 
Akina dada njooni mchukueni Huyu

Jinsia: Me
Kazi: Mfamasia
Umri: Miaka 27
Dini: Mkristo
Napoishi: Musoma – Mkoa wa Mara
Hali ya mahusiano: Sina mtoto wala sina familia
MKE NINAYEMUHITAJI
Awe mweusi au mweupe, mradi awe msafi na anajitambua
Umri wake usizidi miaka 40
Elimu yoyote inatosha, hata kama hajasoma au hana kazi sio kigezo
Awe anaishi Musoma au ndani ya Mkoa wa Mara
Dini yoyote
 
JINSIA: Me
KABILA: Mrangj
UMBO: Mrefu (juu ya futi 5"9)
MWONEKANO: Maji ya kunde
MAKAZI: mbeya(mbeya/tukuyu)
KAZI: Mjasiriamali/mfanyabishara
UMRI: 29 looking for 30


NAMTAFUTA MWANAMKE:
KABILA:
Asiwe mnyakyusa
RANGI: Any
UMRI: Chini ya miaka 27
ELIMU: Any
TABIA: Huruma na upole(ongeza yako)
MAKAZI: anywhere Tanzania
DINI: favourite muslim(mkristu sio tatz)
 
JINSIA: Me
KABILA: Mrangj
UMBO: Mrefu (juu ya futi 5"9)
MWONEKANO: Maji ya kunde
MAKAZI: mbeya(mbeya/tukuyu)
KAZI: Mjasiriamali/mfanyabishara
UMRI: 29 looking for 30


NAMTAFUTA MWANAMKE:
KABILA:
Asiwe mnyakyusa
RANGI: Any
UMRI: Chini ya miaka 27
ELIMU: Any
TABIA: Huruma na upole(ongeza yako)
MAKAZI: anywhere Tanzania
DINI: favourite muslim(mkristu sio tatz
 
Wabongo hamna dogo nyie kila uzi lazima masimango, kukosoa ndo kazi yenu, kupinga la mwenzenu ndo lenu nyie mnatakaje sasa. Hata mtu alete mchongo wa kazi au biashara lazima wapatikane wa kuleta fyongo. why? Kuna hata uzi wa afya mtu kajitolea kushare anachojua kusaidia wengne lakin sisi tunampiga majungu. Sijataja mtu ila wabongo jirekebisheni acha kila mtu awe na uhuru wa jambo lake na kama unaona halikufai au halitakusaidi pita kushoto kuliko kuharibia mtu uzi wake na ni watu mlio na akili za kutosha. Sasa leta mafyongo on this coment kama cjakutoboa macho na nikuvishe sketi saitan wewe. Sijataja mtu
 
Back
Top Bottom